Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

Nawashukuruni sana nyie watu wa lottery, betting na network business kwa roho yenu nzuri maana uwa mnapenda sote tutajirike. I wish roho hii nzuri wangekuwa nayo akina Bakhresa, Dewji etc


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo keno ni mchezo wa kwenye internet au ndi ule unachezwa kwenye massine zile za kichina kwenye bar/club.?
 

SAfiii nimepiga hela hii trick
 
um
nasubir kweenye kuotea ila na mm ninayo yanguu kalii!!:-;-;
 
Au aende Google atafute playmaster
Vituo vyote vya Playmaster , Meridian na premier mara nyingi ni makao makuu . Au ukiwa na application ya Meridian unaweza bet online kupitia simu yako au laptop
 
chukueni nama 1 hadi kumi then hakikisha mtandao wako hausumbuii.
tafuta daftari na kalamu mpyaa
izo namba moja hadi kumi andika kwenye daftar then anza kufuatilia draw .
draw ya kwnza namaba kuanzia 1 mpaka 10 zitakazo toka zi note down kwenye tafutari
endelea na draw mpaka nibaki number 2 au 3. zikibaki hizi number acha ipite mzunguko 4 wa 5 ndo unaanza kutia nzigo na utanedelea na nzunguko kwa kuguess wat is next kwa kufuata mtiriko wa data zako
tumia number 2 tu ikitoka moja iliobaki tumia tena coz utaongeza na nyingine kupitia data zakoo .kama mko wengi mkiwa shapu mnaweza kutrack mfomo mzima kwa asilimia 60.
taguta daftari na peni mpyaa kuepuka mikosii uweni wavumilivu ulila draw mbil mfululizo usicheze draw 4 sijazo kama mkiwa wengi tumien wifi
 
Sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…