Yaani huyu jamaa ana akili na busara mpaka kichwa kinauma.
Nyimbo zake za zamani safari hii zimeshafufuka tena huku street.
Yaani sisi Team kiba kindakindaki hatunaga mbwewe nyingi.
Prof. Mkiu.
Hii itakua ni ya kufungia mwaka aiseee iandike kabisa kwenye notebook
Hakuna tatizo ni mipango tu cha msingi ana nyumba ambayo anaweza akahamia mda wowote
wabongo wana majungu sana mbona kawaida sana hivi nikakae madale huko wakati kuna sehemu ya kuishi kinoo...?!!!
hebu angalieni time factor bwana....!!!
Nina Baba yangu anafundisha UDSM ameanza kujenga ghorofa yake makongo juu tangu enzi ya UCLAS ndio ameamia miaka ya 2000'sHaaaa nimehesabu mwaka 2007 hadi leo ni miaka kama 7 imeshapita mtu hajahamia kwake
Nini note book peleka guiness book kabisa.Hii itakua ni ya kufungia mwaka aiseee iandike kabisa kwenye notebook
Mimi binafsi mwakani napangisha nyumba yangu nzima kwa familia moja na mimi nakwenda kupanga sehemu niliyochaguwa kuishi na kubadili style yangu ya maisha, free country.mbona kawaida hujawahi ona
mfano kajenga mvuti na labda mzazi wake ana nyumba kkoo kwa nini asikae katikati ya mji?ili kurahisisha mambo yake?!!
kwani kujenga ndo kuhamia....?!!
Wahindi wanaopanga down town siyo wajinga ati, time is money na siyo lazima uishi kwenye nyumba yako, mtoto wa mjini unaangalia sehemu accesable kuishi.wabongo wana majungu sana mbona kawaida sana hivi nikakae madale huko wakati kuna sehemu ya kuishi kinoo...?!!!
hebu angalieni time factor bwana....!!!
Kujenga siyo mattako kwamba kila mtu anayo Gardems debez tupuz.Hujawazoea tu mpenzi?wewe waache tu wazogoe...waulize wao wameshajenga?walichukua muda gani?....kwanza hawajui hata mfuko wa cement bei gani...
hujawazoea tu mpenzi?wewe waache tu wazogoe...waulize wao wameshajenga?walichukua muda gani?....kwanza hawajui hata mfuko wa cement bei gani...
nina baba yangu anafundisha udsm ameanza kujenga ghorofa yake makongo juu tangu enzi ya uclas ndio ameamia miaka ya 2000's
nini note book peleka guiness book kabisa.
Mimi binafsi mwakani napangisha nyumba yangu nzima kwa familia moja na mimi nakwenda kupanga sehemu niliyochaguwa kuishi na kubadili style yangu ya maisha, free country.
Wahindi wanaopanga down town siyo wajinga ati, time is money na siyo lazima uishi kwenye nyumba yako, mtoto wa mjini unaangalia sehemu accesable kuishi.
Kujenga siyo mattako kwamba kila mtu anayo gardems debez tupuz.
Mpwa Matola tunashukuru kwa taarifa kuwa una baba ana ghorofa Makongo.
mwaka jana alituambia mjengo umekamilika anahamia soon leo anasema mjengo ulikamilika2007
Uwiiiiiiiiii mbavu zanguuuuu mieeeeeeeeeeeee
Nikupe salimia?
Mpwa Matola tunashukuru kwa taarifa kuwa una baba ana ghorofa Makongo.
mwaka jana alituambia mjengo umekamilika anahamia soon leo anasema mjengo ulikamilika2007
Hahaaaaa hiyo nimeihifadhi kwenye files kwa matumizi ya baadae. si apeleke hata watoto wake wakaishi huko maana ana watoto ka basketball team.
Kujenga anajenga mchwa sembuse sie haaaaa
nikupe salimia?
Nikupe salimia?
Kumbe team kiba wapo watano tu,,hehhhe wengine visebengo tu
Hahahahah,siamini ametumwaga mashabiki wake