Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

Yaani huyu jamaa ana akili na busara mpaka kichwa kinauma.
Nyimbo zake za zamani safari hii zimeshafufuka tena huku street.
Yaani sisi Team kiba kindakindaki hatunaga mbwewe nyingi.
Prof. Mkiu.

Sawa prof Mkiu...mbwembwe zitoke wapi sasa?Our King Kiba hana sisi tutazitoa wapi?aina ya msanii inareflect characteristics za mashabiki wake....
 
Last edited by a moderator:
Hii itakua ni ya kufungia mwaka aiseee iandike kabisa kwenye notebook

Hahaaaaa hiyo nimeihifadhi kwenye files kwa matumizi ya baadae. si apeleke hata watoto wake wakaishi huko maana ana watoto ka basketball team.

Kujenga anajenga mchwa sembuse sie haaaaa
 
nyumba umalize toka 2007 mpaka leo huhamii, alijenga ya nini? hebu tuwekeeni hiyo nyumba maana hawa wasanii wa bongo kwa usanii ndio wenyewe.

Hakuna tatizo ni mipango tu cha msingi ana nyumba ambayo anaweza akahamia mda wowote
 
Hakuna tatizo ni mipango tu cha msingi ana nyumba ambayo anaweza akahamia mda wowote

mwaka jana alisema mjengo wake umekamilika atahamia soon na picha akapost kabisa raia tunachoshangaa ni leo anapokuja kusema nyumba yake imekamilika tangu 2007 which is which???
 
wabongo wana majungu sana mbona kawaida sana hivi nikakae madale huko wakati kuna sehemu ya kuishi kinoo...?!!!
hebu angalieni time factor bwana....!!!

Hapo umenena wao wana consider only one factor eti kuhamia ndo ataonekana nyumba imekamilika
 
Haaaa nimehesabu mwaka 2007 hadi leo ni miaka kama 7 imeshapita mtu hajahamia kwake
Nina Baba yangu anafundisha UDSM ameanza kujenga ghorofa yake makongo juu tangu enzi ya UCLAS ndio ameamia miaka ya 2000's
Hii itakua ni ya kufungia mwaka aiseee iandike kabisa kwenye notebook
Nini note book peleka guiness book kabisa.
mbona kawaida hujawahi ona
mfano kajenga mvuti na labda mzazi wake ana nyumba kkoo kwa nini asikae katikati ya mji?ili kurahisisha mambo yake?!!
kwani kujenga ndo kuhamia....?!!
Mimi binafsi mwakani napangisha nyumba yangu nzima kwa familia moja na mimi nakwenda kupanga sehemu niliyochaguwa kuishi na kubadili style yangu ya maisha, free country.
wabongo wana majungu sana mbona kawaida sana hivi nikakae madale huko wakati kuna sehemu ya kuishi kinoo...?!!!
hebu angalieni time factor bwana....!!!
Wahindi wanaopanga down town siyo wajinga ati, time is money na siyo lazima uishi kwenye nyumba yako, mtoto wa mjini unaangalia sehemu accesable kuishi.
Hujawazoea tu mpenzi?wewe waache tu wazogoe...waulize wao wameshajenga?walichukua muda gani?....kwanza hawajui hata mfuko wa cement bei gani...
Kujenga siyo mattako kwamba kila mtu anayo Gardems debez tupuz.
 
hujawazoea tu mpenzi?wewe waache tu wazogoe...waulize wao wameshajenga?walichukua muda gani?....kwanza hawajui hata mfuko wa cement bei gani...

hili nalo neno maana watu wanachukulia kujenga mavuzi ya kizungu nyoa leo kesho yamejaa kibaooo!!
 
nina baba yangu anafundisha udsm ameanza kujenga ghorofa yake makongo juu tangu enzi ya uclas ndio ameamia miaka ya 2000's

nini note book peleka guiness book kabisa.

Mimi binafsi mwakani napangisha nyumba yangu nzima kwa familia moja na mimi nakwenda kupanga sehemu niliyochaguwa kuishi na kubadili style yangu ya maisha, free country.

Wahindi wanaopanga down town siyo wajinga ati, time is money na siyo lazima uishi kwenye nyumba yako, mtoto wa mjini unaangalia sehemu accesable kuishi.

Kujenga siyo mattako kwamba kila mtu anayo gardems debez tupuz.

nashindwa kuwaelewa hata commerce ya form two inawashinda watu jamani
in economics time is very important factor:
Ndo maana wabongo tuko nyuma kumbee nimeelewa kitu leo
 
Mpwa Matola tunashukuru kwa taarifa kuwa una baba ana ghorofa Makongo.

mwaka jana alituambia mjengo umekamilika anahamia soon leo anasema mjengo ulikamilika2007
 
Last edited by a moderator:
Mpwa Matola tunashukuru kwa taarifa kuwa una baba ana ghorofa Makongo.

mwaka jana alituambia mjengo umekamilika anahamia soon leo anasema mjengo ulikamilika2007

Anyway sina hakika na taarifa hizi exactly which is which lakini mimi hoja yangu ni swala la mtu kuishi kwenye nyumba yake na neno ghorofa mshuwa naona analipenda kweli na kama hukai Makongo au Changanyikeni anakuona hujasoma.

Kuhusu hoja yakosioni mashiko na nitakupa mfano mdogo tu.

Kama huwa unapata muda wa kutendembelea maeneo ya kunduchi mpaka Ras Kilomoni pale kuna mahekalu yana muda mrefu na wenyewe hawajaamia wanakaa care takers tu.

Mengi ukiachana na utajiri wake ana nyumba Chole road Masaki na Kinondoni nyuma ya ulipokuwa ubalozi wa Marekani na hakai mtu, lakini ameishi kwa muda mrefu ameishi Haidary Plaza.

Matola naye siko nyuma nahitaji kubadi life style nitahama kwenye nyumba yangu na kuwa mpangaji kwenye location nyingine. Hope umenisoma.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa hiyo nimeihifadhi kwenye files kwa matumizi ya baadae. si apeleke hata watoto wake wakaishi huko maana ana watoto ka basketball team.

Kujenga anajenga mchwa sembuse sie haaaaa

kama wema ananyumba ya milioni 400 hapo knyama sembuse kiba!!
 
Back
Top Bottom