Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

Anyway sina hakika na taarifa hizi exactly which is which lakini mimi hoja yangu ni swala la mtu kuishi kwenye nyumba yake na neno ghorofa mshuwa naona analipenda kweli na kama hukai Makongo au Changanyikeni anakuona hujasoma.

Kuhusu hoja yakosioni mashiko na nitakupa mfano mdogo tu.

Kama huwa unapata muda wa kutendembelea maeneo ya kunduchi mpaka Ras Kilomoni pale kuna mahekalu yana muda mrefu na wenyewe hawajaamia wanakaa care takers tu.

Mengi ukiachana na utajiri wake ana nyumba Chole road Masaki na Kinondoni nyuma ya ulipokuwa ubalozi wa Marekani na hakai mtu, lakini ameishi kwa muda mrefu ameishi Haidary Plaza.

Matola naye siko nyuma nahitaji kubadi life style nitahama kwenye nyumba yangu na kuwa mpangaji kwenye location nyingine. Hope umenisoma.

Mambo ya kuandikiana nakala za gazeti usiku huu nitasoma kesho Mpwa
 
hili nalo neno maana watu wanachukulia kujenga mavuzi ya kizungu nyoa leo kesho yamejaa kibaooo!!

Hahahahaaaah madai yao eti hata mchwa anajenga...hivi huyo mchwa aliamka akajikuta kwenye nyumba kama kobe/konokono???
Si alitumia juhudi???ndio hivyo sasa mchwa anatumia udongo+mate yake binadamu wanatumia jasho....
 
Leo nimecheka mno kila mtu ananiuliza we simu inakuchekesha hivyo wangejua hii simu wamo kina matola na nyie wasingeulizaaa

Mie hapa stress free.. kuna mda nilimua nacheka nikakutana na comment moja nikajikuta siwezi jizuia
Hadi Mangi kaniuliza vipi kuna nini
 
Mie hapa stress free.. kuna mda nilimua nacheka nikakutana na comment moja nikajikuta siwezi jizuia
Hadi Mangi kaniuliza vipi kuna nini

Basi kamalizie na kule kuna kijana ana miaka 28 kamuanzishia uzi eti anampenda mno Anna Makinda yupo tayari kwa lolote nimechekaaaa
 
na mimi hapo ndipo pameniacha hoi, kumbe wale wanaofokaga humu ndani kama wamemeza mche wa jamaa kumbe ni kenge tu kwenye msafara wa mamba???

Hhhhhhaaaaaaaaaa dadekiii paula nazimia nazimia wahi ukujee kwangu
 
Back
Top Bottom