Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Anyway sina hakika na taarifa hizi exactly which is which lakini mimi hoja yangu ni swala la mtu kuishi kwenye nyumba yake na neno ghorofa mshuwa naona analipenda kweli na kama hukai Makongo au Changanyikeni anakuona hujasoma.
Kuhusu hoja yakosioni mashiko na nitakupa mfano mdogo tu.
Kama huwa unapata muda wa kutendembelea maeneo ya kunduchi mpaka Ras Kilomoni pale kuna mahekalu yana muda mrefu na wenyewe hawajaamia wanakaa care takers tu.
Mengi ukiachana na utajiri wake ana nyumba Chole road Masaki na Kinondoni nyuma ya ulipokuwa ubalozi wa Marekani na hakai mtu, lakini ameishi kwa muda mrefu ameishi Haidary Plaza.
Matola naye siko nyuma nahitaji kubadi life style nitahama kwenye nyumba yangu na kuwa mpangaji kwenye location nyingine. Hope umenisoma.
Mambo ya kuandikiana nakala za gazeti usiku huu nitasoma kesho Mpwa