Bunge hili hili la Jamuhuri Ya Muungano wa TZ? I don't think so!Hivi ni lini Bunge litamuhoji Rais ili atoe maelezo ya kina kwa taifa kuhusu uozo wa kutisha uliopo nchini mwetu kwa sasa na unaoendelea kutokea kila kukicha???!!!
Kazi za kufichua haya madudu zinafanywa na wapelelezi na mara nyingi sio kazi za raia wa kawaida kuchukua jukumu la kunusanusa yanayojiri kwenye public institutions.lakini hawa watu wanataka tuwafanyie kazi zote kweli? tumewaambia kuhusu kuuzwa mbezi Beach wanakubali kuwa kumefanyika makosa.. lakini wanataka kuunda timu kuchunguza; zimeibwa voucha huko wanafanya nini? wanaunda tume kuchunguza; wamejenga majumba ya bilioni mbili na nusu hivi badala ya kuchukua hatua wanaunda tume!!
Hili suala nililipata kijuu juu mwaka jana nikiwa Sumbawanga, sijaamini kwamba limeenda deep kiasi hiki. Kimsingi kwa stori nilizopata, huu 'Wizi Mtupu' wa mbolea ya ruzuku una mizizi mirefu sana, kiasi kwamba kama ni kuwajibisha watendaji basi huenda uongozi mzima wa mkoa wa Rukwa utawajibika.
Kuna bwana mmoja ambaye katajirika ghafla na mbolea hii ya wizi, yeye yuko kijiji cha Matai, ana guest houses kadhaa Matai na Sumbawanga mjini, ana malori kadhaa na mashamba makubwa ya mahindi ambapo kapata vitu vyote hivi 'within no time'. Kwa stori nilizopewa pale ni kwamba naye ni mfaidika wa mbolea hii ya wizi, kwa mgongo wa mkubwa fulani, kwamba mkubwa huyu anamtumia mfanyabiashara huyu kama 'Pen name'. Kijiji cha Matai kiko karibu kabisa na Kongo na Zambia, pamoja na bandari ya Kasanga.
Kuna kiungo cha stori hii natafuta ili tuunganishe, be back later.
halafu kuna mpuuzi alidai kuna "usalama wa taifa"..
Yo know what mkuu, haya maswala ya ruzuku ya Mbolea yapo pia Malawi. Na infact mbolea inayouzwa mfuko wa 50kg in Tz around 100,000 TZS, kwa Malawi ni kama 6000TZS. Lakini You will never ever find hiyo mbolea ya Malawi in Tz. Ila sisi tulipoanza tu mambo ya Ruzuku kabla ya Malawi anywayz, mbolea ilikuwa inavushwa usiku na mchana and was one of the hot cake biz by then.
SO WHY? It is all about consequences, Mr Bingu is very serious on the matter and he mean it. Ukikamatwa na mbolea mfukop mmoja unauvusha ni 1yr jail sentence bila kona kona. The same kwa mifuko 100 ni miaka 100 jela. Gari, mkokoteni, pikpiki itakayokamatwa kwa ajili ya kuvusha is seized right away by the govt.
Sisi tumekaa kifisadi fisadi as such hakuna agizo wala utaratibu unaoweza kuendeshwa bila ufisadi..Na hili pendekezo la wahalifu wapelekwe kwenye vyama vyao wakashiughulikiwe huko , Is TZ serious?????????
Taarifa ya Njoolay imeeleza kuwa, uchunguzi wa tume umebaini mambo mengine kadhaa ikiwa ni pamoja na mkoa, wilaya na vijiji kutokuwa makini kusimamia na kufuatilia kwa karibu usambazaji wa ruzuku ya pembejeo ya kilimo kwa wakulima.
Najaribu kufikiri iwapo utapeli huu ungekuwa umefanyika nchini China...Ooh,ingekuwa habari nyingine kabisa saa hizi.Ila kwakuwa ni bongo yetu hii...Wizi huo utakuwa sehemu ya watu kupeana 'shavu'..You know how?Tume itaundwa na watalipwa vizuri sana,ksha ripoti yao wataikabidhi kwa mbwembwe kibao kisha itawekwa kabatini itulie kwani watz watakuwa walshasahau ktambo kuhusu hili.Once Ngabu said,ndivyo tulivyo!
Kwani Tanzania hatuna usalama wa taifa?
Siamini tanzania hakuna usalama wa taifa?basi hii hatariNot in its radical sense; .. ungekuwepo taifa lingekuwa salama.
Siamini tanzania hakuna usalama wa taifa?basi hii hatari
Siamini tanzania hakuna usalama wa taifa?basi hii hatari
So, MM, you still expect miracles from these guys?
Hata hivyo, I have an extreme level of confidence that this year we the people will set the agenda, we will decide what we want, how we want it and who gonna lead us into achieving the desires of our hearts.