Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Kwa wana intelligensia tu huko kwenye red kunamaanisha: Teves anamwenyeji wake Durban aitwae ibra ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Ibra kushirikiana na wenzake walimuundia njama za kumpora pesa. Baada ya tukio Teves anabainisha wale mateja walikamatwa.EXCLUSIVE!
UKWELI NI UPI?
"Ishu iko hivi, mwenyeji wangu hapa Durban, anaitwa Ibra, ndiye ambaye alinipokea siku nilipotua hapa.
"Huyu bwana inaonekana ni tamaa. Aliniundia njama, aliita wenzake na kuniteka kisha kunitesa sana wakidhani nina pesa
SABA WAMEKAMATWA
Tevez tena: "Nashukuru sana serikali ya huku wameweza kunisaidia kwani mpaka sasa ninapoongea na wewe Musa Mateja hawa jamaa wamekamatwa saba.
Chanzo: GPL
Maswali ya kujiuliza..
a) Alijuaje waliemvamia ni mateja?
b) Kama ibra ambaye alimpokea alishirikiana na wenzake ambao ni mateja kumpora Teves. Kwanini Teves anakua na rafiki mwenyeji ambaye ni teja?
JK " akili ya kuambiwa changanya na ya kwako"