Exclusive: Tevez afunguka alivyoteswa, kudhalilishwa

Exclusive: Tevez afunguka alivyoteswa, kudhalilishwa

EXCLUSIVE!

UKWELI NI UPI?

"Ishu iko hivi,
mwenyeji wangu hapa Durban, anaitwa Ibra, ndiye ambaye alinipokea siku nilipotua hapa.
"Huyu bwana inaonekana ni tamaa.
Aliniundia njama, aliita wenzake na kuniteka kisha kunitesa sana wakidhani nina pesa
SABA WAMEKAMATWA

Tevez tena: "Nashukuru sana serikali ya huku wameweza kunisaidia kwani mpaka sasa ninapoongea na wewe Musa
Mateja hawa jamaa wamekamatwa saba.

Chanzo:
GPL
Kwa wana intelligensia tu huko kwenye red kunamaanisha: Teves anamwenyeji wake Durban aitwae ibra ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Ibra kushirikiana na wenzake walimuundia njama za kumpora pesa. Baada ya tukio Teves anabainisha wale mateja walikamatwa.

Maswali ya kujiuliza..

a) Alijuaje waliemvamia ni mateja?
b) Kama ibra ambaye alimpokea alishirikiana na wenzake ambao ni mateja kumpora Teves. Kwanini Teves anakua na rafiki mwenyeji ambaye ni teja?

JK " akili ya kuambiwa changanya na ya kwako"
 
1. Labda km sheria za SA zimebadilika hizi zama za Zuma, enzi za Mbeki, hakukuwa na ruksa ya kuingia ama kutoka SA na Cash SA, nyingi kiasi zaidi ya USD elfu 10! Km sijachanganya, USD note kubwa ni USD 100, ili uwe na USD elfu 14, ina maana alikuwa na note za USD 100 zipatazo 140! Hizi alipitaje nazo airport?

2. Kwa records za crime za SA, wanaoijua watanirekebisha: wazulu, wazim zim na hata wakabaji wa kibongo walio SA, ni wepesi sana kupora baada ya kuua kuliko KUTEKA NA KUTESA! Ona mf kwa Lucky Dube na Senzo Mahiwa, golikipa alieuawa hivi karibuni!

3. Juma4 anasema alipigana na watu wengi! Anasema alipambana sana, hawa wengi ambao alipambana nao sana na baadae akazidiwa km ni kweli, ni wapi hapo? Airport? Nyumbani kwa Ibra?

4. Ulipoteza fahamu! Ulipozinduka ulijikuta uko wapi? Na akina nani? Mbona kona zimekuwa nyingi sana ktk hii narration!
 
Hakupaswa kuongea na chombo chochote cha habari, yaelekea hakujipanga vizuri kwani maelezo yake yanajichanganya
 
Kwa wana intelligensia tu huko kwenye red kunamaanisha: Teves anamwenyeji wake Durban aitwae ibra ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Ibra kushirikiana na wenzake walimuundia njama za kumpora pesa. Baada ya tukio Teves anabainisha wale mateja walikamatwa.

Maswali ya kujiuliza..

a) Alijuaje waliemvamia ni mateja?
b) Kama ibra ambaye alimpokea alishirikiana na wenzake ambao ni mateja kumpora Teves. Kwanini Teves anakua na rafiki mwenyeji ambaye ni teja?

JK " akili ya kuambiwa changanya na ya kwako"

Umechemka sana kaka jipange tena, MUSA MATEJA ni jina la mwandishi wa GPL
 
Wamjuao tevez wanasema kosa kubwa waliofanya waliomtesa ni kumuacha hai...
 
Akili ya kufikiria kwenye utetezi hana, hata mtoto mdogo huwezi kumdanganya hivyo yaani mtu atake kukuibia ndio na mateso makali namna hiyo?
 
Nimekuja mkuuuukuuu nkajua mnyama carlos Tevez bhana. Kukuta ni introduction ya kiumbe kipyaaaa. Haya pole Copy ya Tevez
 
Mods huyu Tevez ni cellebrity ? hebu rekebisheni bwana lipeni jukwaa hadhii yake au kwa sababu kaandikwa andikwa siku kadhaa humu tayari kawa maarufu ?
 
Kwa wana intelligensia tu huko kwenye red kunamaanisha: Teves anamwenyeji wake Durban aitwae ibra ambaye alimpokea uwanja wa ndege. Ibra kushirikiana na wenzake walimuundia njama za kumpora pesa. Baada ya tukio Teves anabainisha wale mateja walikamatwa.

Maswali ya kujiuliza..

a) Alijuaje waliemvamia ni mateja?
b) Kama ibra ambaye alimpokea alishirikiana na wenzake ambao ni mateja kumpora Teves. Kwanini Teves anakua na rafiki mwenyeji ambaye ni teja?

JK " akili ya kuambiwa changanya na ya kwako"

Mkuu Mussa Mateja ni jina la mwandishi wa hiyo habari na sio mateja watumia unga kama ulivonukuu....
 
Mbona kama anaumwa???
i mean ukiachana na makovu yaani HE IS SICK.......
 
Back
Top Bottom