Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Loh!! Binamu unapewa kichambo mpaka unakosea ku quote?? Muite shoga ako Dinazarde akusaidia naona umezidiwa

hhhhhaaaaahhhaaa
akili za usiku hizii mbona hamna kichambo hapa
 
Last edited by a moderator:
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya

I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura

Achana nao, watu kama hawa unawapa ujumbe huu.

TUMEJUA HATMA YAO WANATUTAFUTA SHARIIII! WAACHE WAFANYE VITUKO NA KEBEHI ZAO, HAWATATUPADISHA MORI, TUTAWANDISHA UTAWASHUSHA NA KUWATIA KWENE DUSTBIN!

WACHONGE WACHONGAVYO JIDOMO LIFIKE KULEEEEEEEEEE
WABWATUKE WABWATUKAVYO L.A MAISHA YANAMUENDEA MBELE,
WAROPOKE ROPOKE OVYOOOO WAWE MSTARI WA MBELEEE, KWA YULE HAWAOPOIII
WAFANYE ROHO ZAO WAFANYAVYO ZIJAE GUNIA TELE NAAPA HAKIIIIIII KWA YULE HAWAOPOI!

WAPANDISHE WASHUSHE WATIE KWENYE DUSTBIN!

https://www.youtube.com/watch?v=T9aSkxifePs YA KULALIA.

cc MHANDOw hapo vipi?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: naa
Loh!! Binamu unapewa kichambo mpaka unakosea ku quote?? Muite shoga ako Dinazarde akusaidia naona umezidiwa

Hhhhhhhaaaaa binam ulipotelea wapi naweee au umewowaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya

Aaaaah aaaah!!! Apo chacha dada ake ni shidaaaaa....unanitafuta ubaya unajuaa?? Maana leo ntachambika mpaka hasubuhi...unaniruhusu nitaje team yangu? From moyon kabisaa??

Hahahaaaaaaaaa! TAJAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani kitu gani banaaaaaaaaaaaa! MIMI NIMEALIKWA RASMI NA BABY, ngoma inakesha hiii. Nimechoka kuvua vidagaaaa, nataka niliwahi PAPA mie😛oa
 



Thank you
 
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya

naomba kuendelezea tafadhali
nimezaliwa na mama sijatokea shimoniiii!!!

Langu jicho ya Jokha Khasimu ikuburudishe, na TOP IN TOWN ya Khadija Kopa ikutafutie usingizi.:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1: Deeva wa kipanya taratibu mkono na pajaaaaaaa! Siti wa mwana nyamala HQ ya mikwara, ukicheza cheza vizuri, huyo aliekukanyaga ndo anakuchukulia mme, HG wako ukitoka ndani anageuka paka shume, MUMEO ANA UMEMEEEEE! Wengine si wanawake ni VIKWEKWEREKE! Si maneno yangu hayooooooooooo! Akhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Bibi Khadija Omary Kopa akikwambia TOP IN TOWN!
 
All in all .....Linda is beautiful.....hilo tu....

BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN- Cyprian Ekwensi.😛oa Kitabu hiko cha O level.

Sitakiiiiiiiiiii, sitakiiiiiiiiiii maneno na mtuuuuuuu, sitakiiiiiii sitakiiiiiiiiii ugomvi na mtu.
 
Hahahaaaaaaaaa! TAJAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani kitu gani banaaaaaaaaaaaa! MIMI NIMEALIKWA RASMI NA BABY, ngoma inakesha hiii. Nimechoka kuvua vidagaaaa, nataka niliwahi PAPA mie😛oa

Ni sheeeedah.... mie ntataja tu ,sio mimi bali ni chaguo la moyo tu, wala sio warumi, sooon ntafunguka, kama uchaguzi wa moyo utaniponza bhasi sawaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…