Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Oyoooo karibu sana JF Linda.Nimefurahi sana coz nakupenda hadi naumwa!
Usijali maneno ya huku,watakaokuponda ndio walewale wanaokuonea wivu ambao umeshawazoea.

hahhaaaaaaa
unakufwa for herrr
wapiiiiiiiii!!!!
 
-
natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na mungu.ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni mungu amekuwezesha na kukubariki usidharau wengine na ambao sawa na baba zako.

aiseee very wise
nimejikuta tu yani nakuambia asante
 
Hapa kanifurahisha!!!
 

Attachments

  • 1422909343839.jpg
    1422909343839.jpg
    8.5 KB · Views: 245
Heheheheheh

Kila.mtu ana uhuru wa maoni

Haki ya kumkaribisha atakae

Tena namkaribisha haswa aanze kushusha mavideo akilamba passport


Unaweza iita ass.kissing, ass.licking au hata madole kabisa....... ila sifanyi upendavyo

Nimeuliza tu kama ni AREA OF YOUR EXPERTISE? Wapi nimesema UFANYE NITAKAVYO? Mbona unaniwekea maneno mdomoni.? Madole na zile kucha sipati picha!😛oa
 
vp bibie mbona hujantukana tena kule kwa jana?
nimemiss matusi yenu

Hahahahaaaaaaaaaaaa! Alikupaka mafuta na mgongo wa chupa post ya 2. :A S-rose:. Vipi mimi sija make headlines huko uswazi? Manake hata sijapata simu kuambiwa nimetokea kwnye WALK OF FAME!:boxing::boxing::boxing:
 
Mkuu umejitahidi kutoa ufafanuzi mzuri ila hapo kwenye tusubili:what: ndo umechafua picha nzima

huyo dada ana lake jambo si bure ngoja akakutukane kule kwao
mi nimemsamehe kila tusi alilonitukana kwa dhamiri yake au bahati mbaya ilik kufurahisha watu
na ninamuombea baraka za MUNGU zimshukie labda afahamu kua kutukana anonymous ni ujinga wa mwisho sio yeye na wenzie wote
 
Bibie ndo nani tena na wewe binamu au ushaanza kula viroba siku izi?

Hivi warumi kwenye hili saga una keep up na nani? Real house wives of LA au real wives of Atlanta? Maana siku ile mdogo wangu sikukuona ukiropoka ropoka OVYO uwe mstari wa mbele mpaka jidomo liende kule. So nakuuliza warumi uko team gani?
 
I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura

vp bibie
nimemiss matusi yako
naona kimyaa hujaniktukana tena?
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa! Alikupaka mafuta na mgongo wa chupa post ya 2. :A S-rose:. Vipi mimi sija make headlines huko uswazi? Manake hata sijapata simu kuambiwa nimetokea kwnye WALK OF FAME!:boxing::boxing::boxing:

daah we lara una maneno sana ujue eti walk of fame
sijapita mda toka siku ile nnapita kwa matukio maalum

huyo@zels ndo anaendaga kutukana kule sasa sijuo hapa anaogopa nini!!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa! Alikupaka mafuta na mgongo wa chupa post ya 2. :A S-rose:. Vipi mimi sija make headlines huko uswazi? Manake hata sijapata simu kuambiwa nimetokea kwnye WALK OF FAME!:boxing::boxing::boxing:

Aaaaah aaaah!!! Apo chacha dada ake ni shidaaaaa....unanitafuta ubaya unajuaa?? Maana leo ntachambika mpaka hasubuhi...unaniruhusu nitaje team yangu? From moyon kabisaa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom