Fact ni hizi hapa, wewe lete za kwako sasa, punguza kukata viuno.
Kumbe wale wale.
Haya usiku mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact ni hizi hapa, wewe lete za kwako sasa, punguza kukata viuno.
Linda mzuri jamani hilo guuu guuuu duuuuu
Oyoooo karibu sana JF Linda.Nimefurahi sana coz nakupenda hadi naumwa!
Usijali maneno ya huku,watakaokuponda ndio walewale wanaokuonea wivu ambao umeshawazoea.
-
natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na mungu.ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni mungu amekuwezesha na kukubariki usidharau wengine na ambao sawa na baba zako.
Kumbe wale wale.
Haya usiku mwema
Ha ha ha ha Linda kaumbwa jamani.....mguu ka wangu.😉😉😉😉
Heheheheheh
Kila.mtu ana uhuru wa maoni
Haki ya kumkaribisha atakae
Tena namkaribisha haswa aanze kushusha mavideo akilamba passport
Unaweza iita ass.kissing, ass.licking au hata madole kabisa....... ila sifanyi upendavyo
vp bibie mbona hujantukana tena kule kwa jana?
nimemiss matusi yenu
vp bibie mbona hujantukana tena kule kwa jana?
nimemiss matusi yenu
Mkuu umejitahidi kutoa ufafanuzi mzuri ila hapo kwenye tusubili:what: ndo umechafua picha nzima
Bibie ndo nani tena na wewe binamu au ushaanza kula viroba siku izi?
mwenye picha ya miguu ya Linda na miguu ya mange atuletee tulinganishe
I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura
Bibie ndo nani tena na wewe binamu au ushaanza kula viroba siku izi?
Itapendeza hata wako ukiuweka hapa itapendeza
Hahahahaaaaaaaaaaaa! Alikupaka mafuta na mgongo wa chupa post ya 2. :A S-rose:. Vipi mimi sija make headlines huko uswazi? Manake hata sijapata simu kuambiwa nimetokea kwnye WALK OF FAME!:boxing::boxing::boxing: