Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Information za Obama kila mtu anazijuwa, wewe kama document unayomiliki ni kikadi cha mpiga kura tu hapa utaweka nini.

Hapa ni JF tunacheza fair game na record zinawekwa clear na wale waliokuwa wanadanganywa hapa ndio ujiona wajinga na ndio maana watu makini hawana muda na blogs za watu kujipamba na kuattack wengine.

Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
 
Wewe endelea kuweweseka tu hata Diploma ya Leyla tumefoji pia.

Ar u happy now?

I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura
 
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya

Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa! Pwa!

One down.

Dinazarde nifah Avemaria njooni muokote casualties huku.

Waswahili siku zote usitumie nguvu kuwasambaratisha ni kucheza na fact tu.
 
Last edited by a moderator:
-
Nimjengee baba yangu kwani umeambiwa ana dhiki aaaahaaaaa anazo za kumwaga labda tumsitiri uyo mzungu chokoraaa
Natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.Hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?Maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na Mungu.Ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni Mungu amekuwezesha na kukubariki usidharau wengine na ambao sawa na baba zako.
 
I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura

Hold on.....

Pata glasi ya maji baridi kwanza maana umepanic mpaka unachoandika hakieleweki.

Twende taratibu unaijuwa Sheghen viza?
 
Hold on.....

Pata glasi ya maji baridi kwanza maana umepanic mpaka unachoandika hakieleweki.

Twende taratibu unaijuwa Sheghen viza?

Sheghen viza haikufanyi uishi America wala kuingia. Naongelea visa yake ya America. Na jibu ni "Passport yake imetolewa March 2007 ila visa imetolewa January 2007. Previous passport yake ipo wapi?

Chukua hiyo card yake ya settlement visa geuza the other side angalia km information ya passport vinalingana na hiyo current passport.

Yy kataka kunadiliwa ndio mana ka expose her documents. Na fans wake hamtakiwi ku panic mnatakiwa kutoa maelezo yenye facts sio matusi
 
Hivi unajijuwa kama wewe ni mpuuzi? Nimedisclose fact kwa kibali cha muhusika na mume wake na nasimama hapa kama wakili wa Linda.

Je una lingine?

Kwan hii mahakama sasa?
 
Hold on.....

Pata glasi ya maji baridi kwanza maana umepanic mpaka unachoandika hakieleweki.

Twende taratibu unaijuwa Sheghen viza?

Kwenyenye Sheghen visa ametumia Linda Bezedeute Isihaqat na ni jina linaloendana na passport, na kwenye settlement visa inayomfany aishi America anatumia Linda C Bezedeute. Why majina mengi?
Visa yoyote ile lazima ifananane na ji a la passport duniani kote. Kwanini yake tofauti
 
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya

Mkuu umejitahidi kutoa ufafanuzi mzuri ila hapo kwenye tusubili:what: ndo umechafua picha nzima
 
Sheghen viza haikufanyi uishi America wala kuingia. Naongelea visa yake ya America. Na jibu ni "Passport yake imetolewa March 2007 ila visa imetolewa January 2007. Previous passport yake ipo wapi?

Chukua hiyo card yake ya settlement visa geuza the other side angalia km information ya passport vinalingana na hiyo current passport.

Yy kataka kunadiliwa ndio mana ka expose her documents. Na fans wake hamtakiwi ku panic mnatakiwa kutoa maelezo yenye facts sio matusi

Fact ni hizi hapa, wewe lete za kwako sasa, punguza kukata viuno.
 
Mie najua watu wapo majuu waliolewa na sehemu zingine wakawa bado wanatumia majina yaani surname za zamani na mengine yanaendelea.

Mtu ukifika unapotaka badili unabadili, ukitakiwa kujaza fomu kama kunamaswali yaliyipita juu ya majina yako unaweka unakwenda mbele kama kawa.

Hata mmoja insurance details alikuwa anatumia surname ya zamani ya mumewe akaingia ingine akawa bado anasepa as long ni wewe na haudanganyi katika kutoa information zinapotakiwa. Ukitaka unabadili usipotaka poa no kuvunja sheria no matatizo maisha yanaenda.

Hizo ni yaliyotokea sio utungaji mifano mingiiiiii.......yatajaaaaaa
 
tumblr_nj5snkAAtp1qfep67o1_540.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom