Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.

hamna nataka nianze kumsifia linda
 
welcome our majesty linda we love mmmmwwwwaaahhh
viwavi jeshi wasikupe presha angaliaa mambo yako
ur so cute and intelligent person regadless hukuenda shule kivile

HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! I JUST LOVE YOUR SENSE OF HUMOR! Haya mie langu jichoooo. Kwetu kule tunasema IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Huku tunagongeha vifimbo.😛oa
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! I JUST LOVE YOUR SENSE OF HUMOR! Haya mie langu jichoooo. Kwetu kule tunasema IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Huku tunagongeha vifimbo.😛oa

yyyaaaani wewe daaahhhhh!!!!
i like my madame linda th LBBBBBB
the bossylady herself
the beutiful onyinye
mtoto km 24 kumbe 42 akikaa na mie wa 28 naamkiwa mie ye anapewa mamboooooo
hallllooooowwww
muke ya kimesera
mtoto showww rangi ya jogooooo
 
Karibu JF linda...,I think huyu Lara 1 yuko close na team ya Invisible huwa anahorojeka info za watu humu .... Invisible ukubali ukatae kuna mwanya sana kny team yako.......mie hili li lara 1 huwaga linaniudhi,linapenda maugomvi ndio maana linamtetea hilo lipuuzi lenzie.....
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaaaaaaa! Lazima uweke vijembe kwenye karibu yako! Cant you just be modest na kumkaribisha Your MAJESTY THE QUEEN.

Unamuonea sanaa Invisible wa watu bureeee. Info za watu gani mimi nilizo nazo? Ungejua naongoza kwa kupigwa BAN humu ndani hata usingeongeaaa.

Mi napenda ugomvi upi jamaniiiiiiii? Ni lini mtu kaanzisha uzi mi nikamfata kumchokonoaa? MNANIITAGA WENYEWE. Nisipokuja Lara hana ushirikiano na wenzie, hachangii vitu vya wenzie, nikija mgomvi!!!!!!!!! Hahahaaaaaaa! Ama kweli binadamu hambebeki kama zigo la vima, hata ubebe vipi mwishowe lazima yakunukie tu!

Mi namtetea ndio maana mnamuoneaaaa, kama mnavonioneaa mie.
 
Kichuna wa kizaramo Asiekwisha utamuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!! (Mnaona nilivokuwa na roho nzuri? Nasifia kabisaaa! ) OLD IS GOLD!

 


Pasco umefunguka....
 
Matola ni nini kinaendelea hapa?
 
Last edited by a moderator:
Matola ni nini kinaendelea hapa?

Rudi page one mkuu, kuna upande wa pili wa shilling ulikuwa hauna uwanja mpana wa kujieleza na watu wenye free mind wakauelewa ukweli.

Wanasema uongo ukisemwa sana bila ukweli kuwekwa hadharani basi uongo uaminika. In short hii ni check and ballance mechanism.
 
Last edited by a moderator:

Nimesoma soma hadi katikati nishaelewa mkuu...

Shukrani
 

Hhhhhaaa yaan ulivyoandika umeniua mbavu yaan ni kama mtoto anaonewa halaf anashitak kwa mwalimu au mama yake lo Jestina uhali gani lakinii?
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhaaa yaan ulivyoandika umeniua mbavu yaan ni kama mtoto anaonewa halaf anashitak kwa mwalimu au mama yake lo Jestina uhali gani lakinii?

Lol niko poa wangu Dinazarde ila naogopa kuandikiwa gazetiiii 😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂...ndio maana nashtaki kwa Invisible.....wewe je uko poa....???........ hivi siku moja Mange na Linda itokee wapatane...wapambe itakuwaje??? 😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Last edited by a moderator:

Wapambe itakua kimyaaaaa hhhhhaaaa,,,,,na wagombanao ndo wapatanao heloo
 
Last edited by a moderator:
Wapambe itakua kimyaaaaa hhhhhaaaa,,,,,na wagombanao ndo wapatanao heloo

Mimi kama wakili wa Linda nasema mteja wangu hana tena muda wa urumbi kurumbana.

Nikiwa kama wakili asiye msomi (but not bush lawyer) nilimleta hapa mteja wangu kwa sababu hakuwa na uwanja mpana wa wananchi kupata ukweli wa upande wa pili wa shilling natumaini wote mmeona thread hii imepata viewers wangapi.

The game is over.

Nb: Pasco haya yote nimeyafanya kwa kibali rasmi cha familia ya mteja wangu na Mume wake ambaye ni school mate wako maana naye walimuattack huko kwenye blog zao, na kama mmepoteana muda mrefu naomba uje inbox nikuconnect na Mali Kimesera mna mengi ya kubadilishana mawazo.
 
Last edited by a moderator:

Swali la kizushi jee mteja wako karidhika na kazi yako au
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…