Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechoka vipi wakati mi nangojea shamra shamra zenu, mpaparike kama ilivo kawaida yenu, nashangaaaa, mambo DOROOOOOOOOOOOOO! Nawaaminiaga kufika page ya 78. Namna gani mnamuangusha mgeni wenu. Upokezi kama huu wenu mi naaga siku hiyo hiyo! Hahahahaaaaaaaaaa! Hamna nyimbo wala hamna sera.Mi ngoja nikazurure huko mitaani pakikucha niiteni.
welcome our majesty linda we love mmmmwwwwaaahhh
viwavi jeshi wasikupe presha angaliaa mambo yako
ur so cute and intelligent person regadless hukuenda shule kivile
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! I JUST LOVE YOUR SENSE OF HUMOR! Haya mie langu jichoooo. Kwetu kule tunasema IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Huku tunagongeha vifimbo.😛oa
Miss Strong, kiukweli miguu, shape, umbo, sura nzuri, nywele, or anything cha kuonekanika, has nothing to do with yale 'mambo', ni vile viungo tuu ndio vinahusika!, ila kwa uzoefu wangu, unene wa miguu au mwili, ni direct proportional na liquidity na fluidity!, naomba nisiende zaidi!.
Ila utamu is just an atitude of mind, has nothing to do with reality ya kule!, ukipenda miguu, ukipataa miguu, mindi yako itakuambia unafaidi!, ukipenda sura, shape, figure etc, akipata unachokipenda, mind yako itakuambia unafadi!, tatizo la kufaidi kwa atitute of mind, is not long lasting!, utafaidi faidi tuu mwanzoni kufurahisha watu, lakini kama hakuna kufaidi in realitiy kule kunako, unabakia kuwaringishia tuu watu wawaone mnavyopendana na mnavyo pendeza, ila kule kunako ni mambo tofauti kabisa!.
Kipimo cha wenye miguu minene ambao kule pia wametimia, utawajua kwa jinsi mtu anavyo sticky!, ukiona msichana mrembo mwenye kila sifa ya uzuri, ambaye ameolewa na ametulia, ujue yuko kamili hadi kule kunako!, lakini ukiona msichana mrembo, mwenye kila sifa ya uzuri, na alipaswa kuolewa, au akaolewa na kuachika, ikabakia watu wanapishana kwa kupokezana tuu!, ujue huyo ni mzuri wa umbo tuu!, na kusema ukweli kuna wanaume wavumilivu sana mbele ya uzuri wa umbo!, wataspend millions, and stick kwa uvumilivu tuu, ili watu waone, lakini... mwisho wa siku, uvumilivu utawaisha na utawashinda, hivyo the search for the real thing will go on!.
Watu wenye akili zao, ukishaona mahali watu wamepita na wakashindwa na wakaja wengine wakapita na wakashindwa, then elewa ndio vile!, huo unaitwa ni "uzuri wa mkakasi, ndani kipande cha mti!", au "vingaavyo tuu!, lakini....
Ila kama for business interprises kupandishia nyota juu ili kuzimake zaidi!, naunga mkono, ukishikwa shikamana!, tena its usuasually for publicity stunt, kule kunako!, huwezi amini waweza kuta ni mzungu wa nne!, ila kwa vile it's business, that is all about show business, siku hizi wanaitwa "socialites!", ila in reality, wanachokifanya wengi wa warembo hawa waliojaaliwa, ni gold diggers!, be it una dig kwa mwanaume tajiri na kulazimisha ndoa, au you let the changing hands take control, whoever mwenye nazo!, hawa sifa yao kubwa ni kuonekana!, and they real make them!.
Pasco.
Matola ni nini kinaendelea hapa?
Thank you Matola :clap2:
Rudi page one mkuu, kuna upande wa pili wa shilling ulikuwa hauna uwanja mpana wa kujieleza na watu wenye free mind wakauelewa ukweli.
Wanasema uongo ukisemwa sana bila ukweli kuwekwa hadharani basi uongo uaminika. In short hii ni check and ballance mechanism.
Hhhhhaaa yaan ulivyoandika umeniua mbavu yaan ni kama mtoto anaonewa halaf anashitak kwa mwalimu au mama yake lo Jestina uhali gani lakinii?
Kichuna wa kizaramo Asiekwisha utamuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!! (Mnaona nilivokuwa na roho nzuri? Nasifia kabisaaa! ) OLD IS GOLD!
![]()
Lol niko poa wangu Dinazarde ila naogopa kuandikiwa gazetiiii 😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂...ndio maana nashtaki kwa Invisible.....wewe je uko poa....???........ hivi siku moja Mange na Linda itokee wapatane...wapambe itakuwaje??? 😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
Wapambe itakua kimyaaaaa hhhhhaaaa,,,,,na wagombanao ndo wapatanao heloo
Mimi kama wakili wa Linda nasema mteja wangu hana tena muda wa urumbi kurumbana.
Nikiwa kama wakili asiye msomi (but not bush lawyer) nilimleta hapa mteja wangu kwa sababu hakuwa na uwanja mpana wa wananchi kupata ukweli wa upande wa pili wa shilling natumaini wote mmeona thread hii imepata viewers wangapi.
The game is over.
Nb: Pasco haya yote nimeyafanya kwa kibali rasmi cha familia ya mteja wangu na Mume wake ambaye ni school mate wako maana naye walimuattack huko kwenye blog zao, na kama mmepoteana muda mrefu naomba uje inbox nikuconnect na Mali Kimesera mna mengi ya kubadilishana mawazo.