Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Linda ulikosea sana kumtukana wema IG kwani hajakukosea. Pia wewe ni mama acha kutukana. Wakikukosea wafungie vioo siku zisonge. Otherwise long time nakukubali flani.

Hekima ikitumiwa huwezi attack innocents . .. though something somewhere isn't right kwa madame LA watoto wake walitukanwa sana (siku hizi namkubali kiaina). All in all wapotezeane then km inalipa kwa wote wapatane.

Umenikosha sana kwa maneno yako murua....
Kula bata mzima wa kuoka nakuja kulipa!
 
Wabong bwana!, ni uwanga uwanga tuu!, yaani unashauri wawe makini na kina Pasco anayetaka kuwa karibu na malkia, ila wewe aliyekukosha, ndio unataka kujiunga Chadema kwa sababu yake, na kuahidi kumfuata popote!, yaani wewe mfuata watu, ndio wasiwe makini na wewe bali wawe makini na kina Pasco ambao hawana lolote?!.

Pasco
 
sijui nini kimemkumbwa Mange nimeona post yake kwenye blog yake inaonekana ana tatizo kubwa sana la kifamilia.
 
Dinazarde kuna shosti wenu huku tangu juzi anakesha kwenye thread ya wanawake mleteeni dela na shanga za kutinga kiunoni anataka kuwapa show ya kibao kata na baikoko.

Mwache ajifunze kukata mauno kwanza huoni anafurahiaaa
 
Last edited by a moderator:
sijui nini kimemkumbwa Mange nimeona post yake kwenye blog yake inaonekana ana tatizo kubwa sana la kifamilia.

Na hii picha nilitumiwa wanasema inaelezea.
 

Attachments

  • 1423117662012.jpg
    97.9 KB · Views: 260
Jaman matusi anayopata mama zari ni sheeda.... Hiv hii tabia imeshika kasi ivi!
 
Pole yakee matatizo tumeumbiwaa,,mama yake Zari anatukanwa wapii??

Anasema anadeep mawazuu anaweza akamchoma mtu kisu....anatirisha huruma sana! Nenda kamsome unaweza kulia na vile kashupaa da, God help her...
 
Anasema anadeep mawazuu anaweza akamchoma mtu kisu....anatirisha huruma sana! Nenda kamsome unaweza kulia na vile kashupaa da, God help her...

Pole yakeee,,ndio shiida ya umaarufu kila mtu anakua anajua una mawazo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…