Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Jamani mbona mimi hujaniita huko umbeani?
Nkusahau....nlikuita pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona mimi hujaniita huko umbeani?
Linda ulikosea sana kumtukana wema IG kwani hajakukosea. Pia wewe ni mama acha kutukana. Wakikukosea wafungie vioo siku zisonge. Otherwise long time nakukubali flani.
Hekima ikitumiwa huwezi attack innocents . .. though something somewhere isn't right kwa madame LA watoto wake walitukanwa sana (siku hizi namkubali kiaina). All in all wapotezeane then km inalipa kwa wote wapatane.
Tangu jana mpaka leo bado upo humu humu kwenye mambo ya kike? Kweli wewe ni Asha Ngedele.
Gea Habibu anatafuta muambata wa kipindi chake
Utafafaa sana mkuu
Wabong bwana!, ni uwanga uwanga tuu!, yaani unashauri wawe makini na kina Pasco anayetaka kuwa karibu na malkia, ila wewe aliyekukosha, ndio unataka kujiunga Chadema kwa sababu yake, na kuahidi kumfuata popote!, yaani wewe mfuata watu, ndio wasiwe makini na wewe bali wawe makini na kina Pasco ambao hawana lolote?!.Pasco hana lolote huyu
anataka kusegea karibu na malkia
huyu ni mke wetu sote lakini hawa akina Pasco lazima tuwe makini nao.
Huyu mwanamke kazidi kunikosha kuwa naye ni CHADEMA hivyo hana haja ya kuni convince kujiunga nao
akihama kwenda NAREA na mimi namfuata huko huko
Labda zamani, siku hizi mimi ningekuwepo hapo, ningeangalia chini!.akina pasco haoooo
![]()
sijui nini kimemkumbwa Mange nimeona post yake kwenye blog yake inaonekana ana tatizo kubwa sana la kifamilia.
Na hii picha nilitumiwa wanasema inaelezea.
Mi naona vidole vina pete vingine havinaaa,,hebu fafanuaaa
Wanasema kuna mgogoro wa ndooooa...
Pole yakee matatizo tumeumbiwaa,,mama yake Zari anatukanwa wapii??
Anasema anadeep mawazuu anaweza akamchoma mtu kisu....anatirisha huruma sana! Nenda kamsome unaweza kulia na vile kashupaa da, God help her...
Pole yakeee,,ndio shiida ya umaarufu kila mtu anakua anajua una mawazo
Kasema mwenyewe....kasema ana majanga nw atakuja kuelezea hajali mtu zaidi ya watotoz....