Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.

Bado inabidi zilindwe mtu kama anahitaji akatafute sio kuzianika kirahisi Hivi. Huu ni USHAMBA

BTW hujui nilipo mkuu kadi ya mpiga kura ninayo as well as permanent residence. Anyways sijui huyu Linda ni mdudu gani acha nilale
 
Matola huna tofauti yoyote na Dina marios au Gea habibu and the co
Mtoto wa kiume unapenda kushabikia upuuzi wa kike kike sana
 
Last edited by a moderator:
Naona hii thread inawahusu wadada tu, haya mie nimepita kuwajulia hali tu, napita zangu???
 
Bado inabidi zilindwe mtu kama anahitaji akatafute sio kuzianika kirahisi Hivi. Huu ni USHAMBA

BTW hujui nilipo mkuu kadi ya mpiga kura ninayo as well as permanent residence. Anyways sijui huyu Linda ni mdudu gani acha nilale

Mtu usiyemjuwa linakutojaje povu? Anakuzidishia au kukupunguzia nini?
 
Matola huna tofauti yoyote na Dina marios au Gea habibu and the co
Mtoto wa kiume unapenda kushabikia upuuzi wa kike kike sana

Hawa ni role model wako ndio maana unawafahamu vizuri, nikikuuliza Tim Sebastian na Shaka Sali wanaendesha vipindi gani wewe huwezi kujuwa unachojuwa ni taarabu tu.
 
Last edited by a moderator:
Mtu usiyemjuwa linakutojaje povu? Anakuzidishia au kukupunguzia nini?

Under privacy grounds personal information inabidi zilindwe hata kama simjui mtu huyo. Habari imekaa kimbea mbea tu hakukuwa na haja ya kudisclose info za mtu.
 
Hivi unajijuwa kama wewe ni mpuuzi? Nimedisclose fact kwa kibali cha muhusika na mume wake na nasimama hapa kama wakili wa Linda.

Je una lingine?
 
I am done with shit! Kuna cease fire jamani. Aendelee tu na ufundi cherahani in peace.
 
Matola huna tofauti yoyote na Dina marios au Gea habibu and the co
Mtoto wa kiume unapenda kushabikia upuuzi wa kike kike sana

nakuona mlume ndago kwenye thread ya kiume
 
Last edited by a moderator:
I am done with shit! Kuna cease fire jamani. Aendelee tu na ufundi cherahani in peace.

Napata picha kama ingetokea kweli mkaoana, nyumba full udaku, mama na baba + watoto! Unakuwa hujui mwanaume nani mwanamke nani!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…