Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linda mzuri jamani hilo guuu guuuu duuuuu
Information za Obama kila mtu anazijuwa, wewe kama document unayomiliki ni kikadi cha mpiga kura tu hapa utaweka nini.
Hapa ni JF tunacheza fair game na record zinawekwa clear na wale waliokuwa wanadanganywa hapa ndio ujiona wajinga na ndio maana watu makini hawana muda na blogs za watu kujipamba na kuattack wengine.
Bado inabidi zilindwe mtu kama anahitaji akatafute sio kuzianika kirahisi Hivi. Huu ni USHAMBA
BTW hujui nilipo mkuu kadi ya mpiga kura ninayo as well as permanent residence. Anyways sijui huyu Linda ni mdudu gani acha nilale
Matola huna tofauti yoyote na Dina marios au Gea habibu and the co
Mtoto wa kiume unapenda kushabikia upuuzi wa kike kike sana
Mtu usiyemjuwa linakutojaje povu? Anakuzidishia au kukupunguzia nini?
Under privacy grounds personal information inabidi zilindwe hata kama simjui mtu huyo. Habari imekaa kimbea mbea tu hakukuwa na haja ya kudisclose info za mtu.
Alaa kumbeee...
Owkey tumesoma so??
Huyu dada mrembo sana na wanaoendeleza bifu nae wanawish kuwa kama yeye
Linda mzuri jamani hilo guuu guuuu duuuuu
Mleta uzi hawezi kuwa mwanaume...
I am done with shit! Kuna cease fire jamani. Aendelee tu na ufundi cherahani in peace.