Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.

Umekremu vibaya hapa ni kama utani wa jf tu.sijafanya personal attack yeyote.huyo niliyem quote alitania kuwa hii ni thread ya wadada tu, Mimi nikamwambia ni matola na wadada sababu mleta mada ni matola ila wanaozungumziwa ni wadada I.e Linda and mange.
After all matola ni member maarufu sana hapa jf na ninapenda uwepo wake maana huyu ni mmoja anayefanya jukwaa la celebrity na MMU lichangamke kila siku.
Mkuu matola sometime tunakuzingua ili uzi uzidi kuwa mtamu ila nakuheshimu sana
 

haina shida na nimekuelewa
km uliyoyaandika ndo ukweli wako
 

Kwani huyo Mange alianza kumtukana huyo Linda from no where?
 
Wakili wake nipo harusiwi tena kujibizana na watu mtandaoni, anayesubiri michambo is too late.

The end.

Nimeipenda hii!
Of all things Matola.....mwambie aache ugomvi wala kujibishana hovyo na watu mitandaoni for it is not worthy it.

Kuna watu ugomvi umo kwenye damu na ndio sifa yao kuu, so akichokozwa ama akitukanwa sio lazima ajibu malumbano, kwani akiiuchuna tu hata akiambiwa amesurrender ye inampunguzia nini?
Bado atabaki kuwa Linda na hadhi yake though kama kuna maelezo anaweza kutoa but sio kwa style ile walivokuwa wanatukanana.
 
Last edited by a moderator:

mmmmmmmwwwwwwaaaahhhh
 
Last edited by a moderator:
Alianza kumtukana from Manzese to Mlandizi!....happy now....??

Hahahaaaa tatizo mna tawaliwa na ushabiki, ila Natumaini wewe ni great thinker kwahiyo umeelewa na nafsi yako inajua ukweli Kwahiyo acheni ushabiki na mseme facts.
 

Anakusoma yeye mwenyewe atakujibu yeye mwenyewe kwa ushauri mzuri uliyompa.

Its over wanaonufaika na maugonvi haya watafute ajira nyingine kwa hii kibaruwa kimeota nyasi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa tatizo mna tawaliwa na ushabiki, ila Natumaini wewe ni great thinker kwahiyo umeelewa na nafsi yako inajua ukweli Kwahiyo acheni ushabiki na mseme facts.

Hebu tupe fact ulizonazo wewe Zari ni lini alimchokoza au kumtukana Mange?

Ukijibu swali ndio tutajuwa kama akili zako zina akili au lah!
 
Hahahaaaa tatizo mna tawaliwa na ushabiki, ila Natumaini wewe ni great thinker kwahiyo umeelewa na nafsi yako inajua ukweli Kwahiyo acheni ushabiki na mseme facts.

Mmmmnh nimeanza kumsikia Mange from 2008,and you dont need to start anywhere for her to put you in her stupid blog..NOW,THAT IS A FACT!!.....good day!
 
Hivi unajijuwa kama wewe ni mpuuzi? Nimedisclose fact kwa kibali cha muhusika na mume wake na nasimama hapa kama wakili wa Linda.

Je una lingine?

Hivi mkuu wewe huna shughuli za kufanya?

As far as I know watu makini hawana muda mchafu kama huu wa kutumika just like you

Eti nimepewa ruhusa na mumewe...... Seriously?

Haya mambo ya mitandao wenzio tuna comment just for fun especially jukwaa la maceleb, but you take it so serious mkuu, unatumia nguvu mnno
Juhudi hizi unazofanya humu zihamishie kutafuta maisha yako utakuwa mbali
 

Wewe ni jobless mwenzangu hatuna kazi ya kufanya ndio maana tupo hapa.

Wewe mwenzetu mwenye juhudi kwenye yale magorofa yaliyojaa kariakoo unamiliki hata moja?

Mwisho ningependa uwaeleze wana JF siku ambayo nilikula ugali kwako.

Wewe ni nani wa kunipangia mimi namna ya kuishi?

Hunijui mimi wala humjui Mr Mali achana na mimi password ya maisha yangu naijuwa mimi mwenyewe.
 

HhhhhhhhAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Ni utoto tu labda ukikua utaacha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…