IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,915
- 5,233
kama wewe vile
sijajua kwa nini humpendi matola
yaani whatever he is doing kwako ni kibaya
how come u hate anonymous like this?
dah sijui yani mbona wengine hatuko hvyo...!!!
just change my bro
life is too short u never know who is gonna hold ur hand
pindi ukiwa na shida
Umekremu vibaya hapa ni kama utani wa jf tu.sijafanya personal attack yeyote.huyo niliyem quote alitania kuwa hii ni thread ya wadada tu, Mimi nikamwambia ni matola na wadada sababu mleta mada ni matola ila wanaozungumziwa ni wadada I.e Linda and mange.
After all matola ni member maarufu sana hapa jf na ninapenda uwepo wake maana huyu ni mmoja anayefanya jukwaa la celebrity na MMU lichangamke kila siku.
Mkuu matola sometime tunakuzingua ili uzi uzidi kuwa mtamu ila nakuheshimu sana