Kuuza sembe na papa lakini baba kashindwa kumstiri anapiga mizinga tu na kushinda vijiweni kula ya shida pakulala shida amjengee bs hata chanika viwanja bure hata kijichumba... daah na big design america duuh maajabu haya ya dunia....au ndio hasira za kuliwa na baba enzi hizo ndi anamkomoa mmh aaaahaaaaa
Wakili wake nasema muacheni mteja wangu apumuwe hajakuomba msaada wowote, weka hapa tuone nyumba uliyomjengea baba'ko.
Hahahaaaaaaaaaa! Sikujua kama A.ss kissing and licking ni moja ya sifa zako mkuu!
jAMANI HAYAHUSU NI PRIVATE QUOTE YA BADILI TABIA.
Mkuu Mtazamo, ni kweli sisi wengine tumejaaliwa appreciation ya kazi nzuri ya Muumba, katika uumbaji, kuna wengine alikuwa tuu bize, na kuna wengine, He took extra seconds!, na kiukweli, kama una appreciative heart, ni lazima ut appreciate!. Mimi hii kitu nimeitupia jicho toka enzi za "Half London!', tukajaribu bahati zetu, tukaishia ... kwa macho tuu!.Na kwa wengine wetu tulivyo dhaifu kwa rangi fulani fulani na figure fulani fulani, unaweza kujikuta wala sio lazima hadi kule!, hapo hapo tuu paliwazi panatosha kumaliza shida zako zote!.Pamoja na uzee kupiga hodi mkuu Pasco ....lakini ng'ombe hazeeki maini .......hebu pitisha jicho kiduchu hapa burudani ya macho ........
Hata wewe umechukulia kwa uzito.umepoteza muda na nguvu zako ku commentHivi mkuu wewe huna shughuli za kufanya?
As far as I know watu makini hawana muda mchafu kama huu wa kutumika just like you
Eti nimepewa ruhusa na mumewe...... Seriously?
Haya mambo ya mitandao wenzio tuna comment just for fun especially jukwaa la maceleb, but you take it so serious mkuu, unatumia nguvu mnno
Juhudi hizi unazofanya humu zihamishie kutafuta maisha yako utakuwa mbali
Mkuu Mtazamo, ni kweli sisi wengine tumejaaliwa appreciation ya kazi nzuri ya Muumba, katika uumbaji, kuna wengine alikuwa tuu bize, na kuna wengine, He took extra seconds!, na kiukweli, kama una appreciative heart, ni lazima ut appreciate!. Mimi hii kitu nimeitupia jicho toka enzi za "Half London!', tukajaribu bahati zetu, tukaishia ... kwa macho tuu!.Na kwa wengine wetu tulivyo dhaifu kwa rangi fulani fulani na figure fulani fulani, unaweza kujikuta wala sio lazima hadi kule!, hapo hapo tuu paliwazi panatosha kumaliza shida zako zote!.
Pasco
Yes Bonafide genuine with authentic evidence!. Next time vitu kama hive unapandisha siku ya ijumaa jioni!.Asante kwa kunikumbusha hii ni bonafide genuine Pasco
Zamani!,ila kwa macho tuu!.P.Kama nimrkuelewa vyema...Ushamaliza shida zako tayari....
Nimekumichi piaaaaa,,,,,,,,,roho za kwanini miili ya sina shukrani
Yes Bonafide genuine with authentic evidence!. Next time vitu kama hive unapandisha siku ya ijumaa jioni!.Asante kwa kunikumbusha hii ni bonafide genuine Pasco
Mkuu Mtazamo, ni kweli sisi wengine tumejaaliwa appreciation ya kazi nzuri ya Muumba, katika uumbaji, kuna wengine alikuwa tuu bize, na kuna wengine, He took extra seconds!, na kiukweli, kama una appreciative heart, ni lazima ut appreciate!. Mimi hii kitu nimeitupia jicho toka enzi za "Half London!', tukajaribu bahati zetu, tukaishia ... kwa macho tuu!.Na kwa wengine wetu tulivyo dhaifu kwa rangi fulani fulani na figure fulani fulani, unaweza kujikuta wala sio lazima hadi kule!, hapo hapo tuu paliwazi panatosha kumaliza shida zako zote!.
Pasco
Hahaha....Wasukuma na rangi bana....