Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
A.jpg
IMG_5527.jpg

Hapo shepu vipiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
 
Linda namjua tokea enzi ya Linda Lamia Linda Express ni mdada mcheshi sana na hata alivyo funga ndoa na mali nilialikwa kwenye harusi yao houston mimi na my wife, tatizo moja la linda ni mkweli sana kwanini nasema hivyo linda angekuwa mkimbizi angesema kwa jinsi navyomjua pia nimeishi nae DC anyways sasa alichosema hapo juu na matola ni 100% kweli basi na mange atuthibitishie ukweli wa maswali ya wengi kama babake alifariki kwanini? je ni kweli mamake alikuwa dada wa kazi? je kwanini alirudishwa toka marekani? je marehemu baba yake alipataje pesa ghafla? au ni kweli alikuwa dereva na akamkaba boss wake akamuua na kumpoteza? je kwanini albert alisema papuchi yake inatema? je ni kweli hapendi kuoga mpaka sasa zingine mwamvita alikuwa anamgombeza? je ni kweli alikuwa anajiuza dubai? je ni kweli marehemu babake mkubwa iddi na dr mwele ndo walimsaidia kupata pesa za urithi wa nyumba ya kinondoni na ukaenda kufungua bongolishazi? je nikweli isingekuwa babako mkubwa na dr mwele usingepata hata sh kumi? sasa awe mkweli kama linda maana majibu tunayajua

Mmmmmmmmmmmmmmmmh! USIWE BIASED! HAPO KWA LINDA KUNA MASWALI UMEYARUKAAAAAAA! Luckly mengine ALISHAYAJIBU kwenye Kiboko ya Mange na kutuacha kinywa wazi! Na kama ujuavyo ze screen shot is ze technology is ze no uongo na ze kukana haiko ze kusema. Mie sitaki laana ya kuyauliza hapa. ILA YAPO NA WEWE UNAYAJUA UZURIIII KAMA HAYO YA MANGE!!!!!!! Even more juicier!!!!!!!!!😛oa

Tofauti ni kuwa MMOJA ALIJIBU KUONDOA REASONABLE DOUBT, Khaaaaaaaaa! Jicho lilitutoka. MWINGINE ANADUNDIA REASONABLE DOUBT MPAKA KUFA!

Mie nipo najiburidisha na ALQUEDAAAAAAAAAAAAAAAA!

https://www.youtube.com/watch?v=n6T2txk9K0o
 
hahahahaaaaaaaahaassssaaa
hebu tuone km yatajibiwa haya kwanza
 
hahahahaaaaaaaahaassssaaa
hebu tuone km yatajibiwa haya kwanza

Si kaja hapa kuweka UKWELI WAKE, sio kumungunya maneno, aseme na yale ya KIBOKO Y MANGE, kwa kusema ukweli tuuuuuuuuuuu! Aaaaaaaaaaaaaaaaah! NAMUAMINIAAAAAAAAAA! Mpaka unaziba macho, huo ukweliiiii, huoooooo. Yani mi mpaka kesho hamu imeniishaukweli wake. Unabakia HOLLY COW!!!!!!!!!!!!!

Mange siku akipata mda mchafu kuja kujijustfy humu atajibu ya kwake. Tuanze na aliepo. ZE TWINI ZEEEE..........? ZE VIPI???????????????????

Nikizidisha ndimu mniambie.
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmh! USIWE BIASED! HAPO KWA LINDA KUNA MASWALI UMEYARUKAAAAAAA! Luckly mengine ALISHAYAJIBU kwenye Kiboko ya Mange na kutuacha kinywa wazi! Na kama ujuavyo ze screen shot is ze technology is ze no uongo na ze kukana haiko ze kusema. Mie sitaki laana ya kuyauliza hapa. ILA YAPO NA WEWE UNAYAJUA UZURIIII KAMA HAYO YA MANGE!!!!!!! Even more juicier!!!!!!!!!😛oa

Tofauti ni kuwa MMOJA ALIJIBU KUONDOA REASONABLE DOUBT, Khaaaaaaaaa! Jicho lilitutoka. MWINGINE ANADUNDIA REASONABLE DOUBT MPAKA KUFA!

Mie nipo najiburidisha na ALQUEDAAAAAAAAAAAAAAAA!

https://www.youtube.com/watch?v=n6T2txk9K0o

Tatizo hujui unae mtetea ni mtu wa aina gani, unaongelea alichomzushia linda alikuwa analala na babake? hujui ndo tabia ya mange kusema hivyo? alisema stella tilya alikuwa analala na babake pia, yuko intimidated na wanawake wazuri angalia woote alogimbana nao nani kafanana nae?
 
Haya haya..... Matola hivi miguu mizuri ina utamu wake?au Pasco wayajua matumizi mengine zaid ya kutembelea.?
Miss Strong, kiukweli miguu, shape, umbo, sura nzuri, nywele, or anything cha kuonekanika, has nothing to do with yale 'mambo', ni vile viungo tuu ndio vinahusika!, ila kwa uzoefu wangu, unene wa miguu au mwili, ni direct proportional na liquidity na fluidity!, naomba nisiende zaidi!.

Ila utamu is just an atitude of mind, has nothing to do with reality ya kule!, ukipenda miguu, ukipataa miguu, mindi yako itakuambia unafaidi!, ukipenda sura, shape, figure etc, akipata unachokipenda, mind yako itakuambia unafadi!, tatizo la kufaidi kwa atitute of mind, is not long lasting!, utafaidi faidi tuu mwanzoni kufurahisha watu, lakini kama hakuna kufaidi in realitiy kule kunako, unabakia kuwaringishia tuu watu wawaone mnavyopendana na mnavyo pendeza, ila kule kunako ni mambo tofauti kabisa!.

Kipimo cha wenye miguu minene ambao kule pia wametimia, utawajua kwa jinsi mtu anavyo sticky!, ukiona msichana mrembo mwenye kila sifa ya uzuri, ambaye ameolewa na ametulia, ujue yuko kamili hadi kule kunako!, lakini ukiona msichana mrembo, mwenye kila sifa ya uzuri, na alipaswa kuolewa, au akaolewa na kuachika, ikabakia watu wanapishana kwa kupokezana tuu!, ujue huyo ni mzuri wa umbo tuu!, na kusema ukweli kuna wanaume wavumilivu sana mbele ya uzuri wa umbo!, wataspend millions, and stick kwa uvumilivu tuu, ili watu waone, lakini... mwisho wa siku, uvumilivu utawaisha na utawashinda, hivyo the search for the real thing will go on!.

Watu wenye akili zao, ukishaona mahali watu wamepita na wakashindwa na wakaja wengine wakapita na wakashindwa, then elewa ndio vile!, huo unaitwa ni "uzuri wa mkakasi, ndani kipande cha mti!", au "vingaavyo tuu!, lakini....

Ila kama for business interprises kupandishia nyota juu ili kuzimake zaidi!, naunga mkono, ukishikwa shikamana!, tena its usuasually for publicity stunt, kule kunako!, huwezi amini waweza kuta ni mzungu wa nne!, ila kwa vile it's business, that is all about show business, siku hizi wanaitwa "socialites!", ila in reality, wanachokifanya wengi wa warembo hawa waliojaaliwa, ni gold diggers!, be it una dig kwa mwanaume tajiri na kulazimisha ndoa, au you let the changing hands take control, whoever mwenye nazo!, hawa sifa yao kubwa ni kuonekana!, and they real make them!.

Pasco.
 
Sijui kwanini hawajakujibu swali rahisi kama hili. Hapo hakuna visa ya marekani. Hiyo unayoona imetolewa january 2007 ni green card. Green card haigongwi kwenye passport. Ni kicard unapewa. ukiwa na green card huitaji visa ya kuingia marekani. Just google ujue usiamini maneno yangu. Sasa hapo linda inaelekea alipata green card january 2007. Baada ya kupata green card ndo akaenda kurenew passport march of 2007. Unavyosema wewe ni kama vile hiyo green card imevandikwa kwenye passport ndo maana unahoji iweje green card wewe unaaita visa itolewe january kabla ya passport iliyotoka march? Kifupi ni kwamba watanzania wengi wakiingia marekani kama hawana green card wanajua hawawezi kutoka na kuingia so huwa hawajali passport zao sasa wakishanyala green card ndo kila mtu anatengeneza passport aweze kutoka...muulize yeyote aliekaa marekani atakupa jibu au just google do you need american visa if you have a green card?

Thanks.
Upo very clear
 
Si kaja hapa kuweka UKWELI WAKE, sio kumungunya maneno, aseme na yale ya KIBOKO Y MANGE, kwa kusema ukweli tuuuuuuuuuuu! Aaaaaaaaaaaaaaaaah! NAMUAMINIAAAAAAAAAA! Mpaka unaziba macho, huo ukweliiiii, huoooooo. Yani mi mpaka kesho hamu imeniishaukweli wake. Unabakia HOLLY COW!!!!!!!!!!!!!

Mange siku akipata mda mchafu kuja kujijustfy humu atajibu ya kwake. Tuanze na aliepo. ZE TWINI ZEEEE..........? ZE VIPI???????????????????

Nikizidisha ndimu mniambie.

Linda kashajibu tumeona na wewe mange tunasubiri majibu yako fastaa, kama wewe mwanamke kweli jibu
 
Tatizo hujui unae mtetea ni mtu wa aina gani, unaongelea alichomzushia linda alikuwa analala na babake? hujui ndo tabia ya mange kusema hivyo? alisema stella tilya alikuwa analala na babake pia, yuko intimidated na wanawake wazuri angalia woote alogimbana nao nani kafanana nae?

Mange ukimwambia aache kusema watu vibaya anabana comments
 
Mange ukimwambia aache kusema watu vibaya anabana comments

Umeona eeeeh? tatizo analo yeye asingekuwa hivyo watu tusingemjadili hata siku moja lakini kila mwezi yeye anatukana mtu, sasa ajibu maswali hapo juu
 
Linda kashajibu tumeona na wewe mange tunasubiri majibu yako fastaa, kama wewe mwanamke kweli jibu

HILI LA TWINI HALIJAJIBIWA, LUCKLY LILIJIBIWA KWENYE KIBOKO YA MANGE, LA ZE BABY ZE MJUKUU WA FAZA NATION ZE ILLEGAL IMMIGRANT HALIJAJIBIWA, Sio kwamba nataka yajibiwe akhaaaaaaaaaaaaaa! Au mi ndo nauliza akhaaaaaaaaaaa! Nimeona yaliulizwa kuleeeeeeee, lakini hapa majibu ni NEHIIIIIIIIIIIIII NEHIIIIIIIIIIIIII NEHIIIIIIIIIIIII BABU JIIIIIIIIIIIII! Na mengne mengi tu. Au ndo kusema partial truth???????????

Mimi sio Mange. Mange akija kuanzisha uzi atajijibia.
 
Weka maswali yako wazi sasa unavyotuandikia sijui zee nini ze nini sio kila mtu anajua hizo codes, lakini ukweli uko pale pale kashajibu maswali na mwambie boss wako atujibu hata maswali matano ya mwanzo basi.
 
Tatizo hujui unae mtetea ni mtu wa aina gani, unaongelea alichomzushia linda alikuwa analala na babake? hujui ndo tabia ya mange kusema hivyo? alisema stella tilya alikuwa analala na babake pia, yuko intimidated na wanawake wazuri angalia woote alogimbana nao nani kafanana nae?

Una uhakika simjuiiiii? Kwa hio Mange ndo alimjibia akamuwekea maneno kuhusu PACHA? Alichukua pas word ya Insta akaingia kujibu na KUTUONDELEA REASONABLE DOUBT?????????? :shock::shock::shock:. Walau Stella alikaa kimya mpaka leo imebaki speculation.
 
Labda tusubirie ufufuko! Mi nangoja explanation ya TWIN!!!!!!!!!!! Siioi naona mnazunguka mibuyu. Shutuma nzito kujigusa nazo aaaaaaaaaah! ACHENI KUWA BIASED! Anyway wanasema mgeni hata aiwa anani akirimiwe kwa siku za ugeni wake. Minangoja deadline ya ugeni.😛oa

cc Matola! Lwayer jipangeeee, mbona makama itafunguliwa humu. Na screen shot za Kiboko ya Mange zipo! Anyway hili picha halitakiwi kuisha harakaaaaa! Silaha nzito inatakiwa mtu uzitunze kwa mwishoni. Kuna picha pia toka Bongo. Kitawakaje humuuuuuuuuu! LIFE BAN kuhusika na jamvi lilivo na misheria hili.
zels wape neno la Mungu hawa wajaa laana mpaka wakuelee.

Sio vita....mpaka unajiandaa kula bann...Linda has nothing to explain to us hatumpi kula wala kunya! IF its the issue of explanation mbona na nyie team fukufuku has a lot to do! ! Anyways somebody is depressed....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom