Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaaa Mange mbaya sana jamani!Halafu anapenda publicity sasa....si bora angejikaliaga zake kimya tu kama sisi akina Mwajuma Ndalandefu?
Basi lile wigi anaona kapendeza hatariii...

Hilo wigi hadi Kenzo kalikataa hhhhhaaa lakini team yake ni umependezaa "wanaogopa wakimuambia ukweli hajapendeza wanablokiwa,akiwa na zile nywele fupi anapendeza sana
 
One thing about LB's fans ni kuwa sio mazumbukuku wala misukule....kama unampenda mtu unamwambia ukweli sio kumpongeza tu na kumtia ujinga kichwan na kumjaza ujinga aendeleze ufala! Am a fan not a zombie.....najua baya na zuri! Linda piga kazi achana na marumbano....tofauti yetu ni kuwa mi sio ZUZU kumpenda mtu kinafiki kumchochea atukane, usiku asilale, analia matusi yamemwingia, siri zake nje, aibu, anakonda nyie WAPAMBE nuksi mnalala usiku mnono na kuchekelea tuuu....

NO FURTHER QUESTION YOUR HONOR! ile comment yako imenipa tote ninayotaka kujua jinsi gani ulivo shabiki damu damu, kimnduku mnduku Wa LB. HAHAHAAAAAAAA!

Now relaxxxx tazama game lako ulipendalo kuliko yoteee. You are truly a die hard fun
 
Halafu kuna watu wanamuona ana akili timamu?mwamvita anamuogopa kama gonjwa hatari, kama kuna mtu hapa kashagombana na watu wengi kiasi kile ebu aseme hapa na isitoshe akawatukane kwenye blog tena na familia zao, ningependa kujua kama kuna mtu kama mange hapa duniani

Hakuna kwa kweli.Mange ni ajabu la 8 la dunia.Ila naona kama ndio nitoke vipi hiyo trick yake ya kupata umaarufu.
 
Hahahahaaaaa jamani leo?
Dah....nimecheka sana.Watu 60 kwa mtu mmoja?Sijawahi kuona hii.Na bado list inaendelea!

Mtu mmoja unakosana na lundo la watu, Wema mwenyewe hata hanaga habare nae lakin Yeye kutwa kumuandika mdogo wangu mdogo wangu,full kujipendekezaaa
 
NO FURTHER QUESTION YOUR HONOR! ile comment yako imenipa tote ninayotaka kujua jinsi gani ulivo shabiki damu damu, kimnduku mnduku Wa LB. HAHAHAAAAAAAA!

Now relaxxxx tazama game lako ulipendalo kuliko yoteee. You are truly a die hard fun

Being a fan doesnot necessarily mean you are a Zuzu.Tukanaa...mnduku mnduku mkato kato ila mie sio Zuzu au msukule kusema ameein kwa kila jambo.Na mnduku sio neno jipya masikioni mwangu kutoka kwa fans wa Mange...u r better than this.Tukana lingine baaas....
 
Hilo wigi hadi Kenzo kalikataa hhhhhaaa lakini team yake ni umependezaa "wanaogopa wakimuambia ukweli hajapendeza wanablokiwa,akiwa na zile nywele fupi anapendeza sana

Hahahaaaa....
Kweli akiwa na zile nywele fupi anapendeza halafu kisura kinanoga kidogo.Lile wigi ni big NO!Kawa kama mzuka....hahahaaaa
 
Mtu mmoja unakosana na lundo la watu, Wema mwenyewe hata hanaga habare nae lakin Yeye kutwa kumuandika mdogo wangu mdogo wangu,full kujipendekezaaa

Unadhani tokea amcheke alivyofanyiwa na diamond mlimani city ana hamu naye?Hata hivyo kwa hili nampongeza wema.Anamkwepa mange maana anajua akiwa shoga yake tu siku wakigombana ataanikwa kwenye blog.Nani anataka?
 
Kwa sababu akili zake fupi anadhani ndio njia ya kupata mashabiki maandazi wa Wema.

Wewe jiulize anamponda Zali alimkosea nini? Na kituko cha mwaka kwenye kablog kake uchwara anadai eti Zari siyo mzuri yeye ni mzuri kuliko Zari na misukule yake inamsifu kwamba ni kweli na wengine wakaenda mbali eti Mange asiwaandike Zari na Diamond atawapa kick ya bure maana wameshachuja!!

Makubwa haya madogo yana nafuu, yani Chibu Dangote apewe Kick na kiblog cha Mange?

Kweli kwenda shule si kuelimika.
 
Hhhhhhaaaa waachage kujipodoa sanaa mpaka wanatisha watoto na ile make up basi ni balaaaa

Mwenzangu ile make up hata mimi na 'ushamba' wangu siwezi kupaka vile.Halafu ndio mjanja huyo mwenye hadi clips kibao za jinsi ya kujipaka.Ila alibahatisha ile siku ya x-mass alipendeza.
Ila naona kama sura yake imechoka jamani!Au ndio hizo stress?au kitu cha obagi kimedunda?
 
Being a fan doesnot necessarily mean you are a Zuzu.Tukanaa...mnduku mnduku mkato kato ila mie sio Zuzu au msukule kusema ameein kwa kila jambo.Na mnduku sio neno jipya masikioni mwangu kutoka kwa fans wa Mange...u r better than this.Tukana lingine baaas....
Sijatukana BTW, hio ilikuwa compliment. Ulivonipa rahaaa Leo nitaanzaje kukutukana? Die hard fun (na wala sijakosea nashangaa mnao ni correct. Japo lugha zilikuja na majahazi hizi ila hip FUN nimeiweka mwenyeweee. Auto correct walii correct nikairudisha. DIE HARD FUN manake this is so funny mpaka una die hard from the FUN. Mpo hapo?)
 
Kwa sababu akili zake fupi anadhani ndio njia ya kupata mashabiki maandazi wa Wema.

Wewe jiulize anamponda Zali alimkosea nini? Na kituko cha mwaka kwenye kablog kake uchwara anadai eti Zari siyo mzuri yeye ni mzuri kuliko Zari na misukule yake inamsifu kwamba ni kweli na wengine wakaenda mbali eti Mange asiwaandike Zari na Diamond atawapa kick ya bure maana wameshachuja!!

Makubwa haya madogo yana nafuu, yani Chibu Dangote apewe Kick na kiblog cha Mange?

Kweli kwenda shule si kuelimika.

Hhhhhaaaaaa,,zari ana akili sana kakaa kimya hata kubishana na machizi, ,maana hamfikii hata robo,,hafikishi habari inavyotakiwaa ila mange kichaa
 
Sijatukana BTW, hio ilikuwa compliment. Ulivonipa rahaaa Leo nitaanzaje kukutukana? Die hard fun (na wala sijakosea nashangaa mnao ni correct. Japo lugha zilikuja na majahazi hizi ila hip FUN nimeiweka mwenyeweee. Auto correct walii correct nikairudisha. DIE HARD FUN manake this is so funny mpaka una die hard from the FUN. Mpo hapo?)

Sishangai kama neno mnduku kwako ni complement coz it means you hav learned that from ur own experience kuwa ndio type of compliments unazopewa daily! Ile sio taarab ni fact! I can see the hunger of a prey wa kumchamba leo, am soleeee.....iwe free style au mchiriku kuwa Zuzu ni janga
 
Unadhani tokea amcheke alivyofanyiwa na diamond mlimani city ana hamu naye?Hata hivyo kwa hili nampongeza wema.Anamkwepa mange maana anajua akiwa shoga yake tu siku wakigombana ataanikwa kwenye blog.Nani anataka?

Hhhhhaaa ameona ajikalie kimyaa urafiki na huyo hapana kabisaaa bora akae mwenyewee
 
Mwenzangu ile make up hata mimi na 'ushamba' wangu siwezi kupaka vile.Halafu ndio mjanja huyo mwenye hadi clips kibao za jinsi ya kujipaka.Ila alibahatisha ile siku ya x-mass alipendeza.
Ila naona kama sura yake imechoka jamani!Au ndio hizo stress?au kitu cha obagi kimedunda?

Obagi imegomaaa nadhanii
 
Sijatukana BTW, hio ilikuwa compliment. Ulivonipa rahaaa Leo nitaanzaje kukutukana? Die hard fun (na wala sijakosea nashangaa mnao ni correct. Japo lugha zilikuja na majahazi hizi ila hip FUN nimeiweka mwenyeweee. Auto correct walii correct nikairudisha. DIE HARD FUN manake this is so funny mpaka una die hard from the FUN. Mpo hapo?)

Its fan (shabiki) sio fun or funny (kichekesho/ kicheko)
 
Sishangai kama neno mnduku kwako ni complement coz it means you hav learned that from ur own experience kuwa ndio type of compliments unazopewa daily! Ile sio taarab ni fact! I can see the hunger of a prey wa kumchamba leo, am soleeee.....iwe free style au mchiriku kuwa Zuzu ni janga

Come on! Hivi kuna MTU anampata mzaramo yule kwa matusi? She is legendary katika hio sekta second only to Mrs Wenger.

Kama hiko kijineno, kimekuwa issue basis nakifuta rasmi! Hahaaaaa!

Afu mbona unajihami hami swala la kuchambwa? Mwanamke umbea kusutwa sunnah! Hahahaaaa! We are just having a HEALTHY conversation nashangaa unapaparikaaa kama Maji yamedondokea mafuta ya moto credits to Mrs Wenga haka kajimsemo, Mara uweke comment za mafumbo mini tatizooo? Kama hutaki kuendelea na maongezi acha kuniquote. Hahaaaaa!

Ila itanihuzunisha sanaaa. LB is really lucky kukupata upande wake. After that FUNNY COMMENT! HAHAHAAAAAAAAA! I envy her.
 
Its fan (shabiki) sio fun or funny (kichekesho/ kicheko)

Eti kisa nlimwambia zels tusimhusishe Mungu kwenye the fun we are having! Somebody wants me to mourn here!Mungu sio athumani people... ..
 
Come on! Hivi kuna MTU anampata mzaramo yule kwa matusi? She is legendary katika hio sekta second only to Mrs Wenger.

Kama hiko kijineno, kimekuwa issue basis nakifuta rasmi! Hahaaaaa!

Afu mbona unajihami hami swala la kuchambwa? Mwanamke umbea kusutwa sunnah! Hahahaaaa! We are just having a HEALTHY conversation nashangaa unapaparikaaa kama Maji yamedondokea mafuta ya moto credits to Mrs Wenga haka kajimsemo, Mara uweke comment za mafumbo mini tatizooo? Kama hutaki kuendelea na maongezi acha kuniquote. Hahaaaaa!

Ila itanihuzunisha sanaaa. LB is really lucky kukupata upande wake. After that FUNNY COMMENT! HAHAHAAAAAAAAA! I envy her.

Kujihami muhimuuu haswa ukiguswa mnduku bibi wee...ile post haikuwa yako why nawewe unajihami!! Kuchambwa sio sunna sunna kuchambisha, a healthy conversation involving "mnduku".Uwe happy kuwa unaogopwa, some of us are not real up for the fight.As I told u its all about having FUN! Sihitaji kufika kule mlipofikishana na mdau fulani it was irritating!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom