Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Ooh please she is not that psycho Mange, yeye ni shabiki kindaki ndaki hata Mange akinya barabarani anakwambia atasupport!Ushabiki wa namna hii unahitaji moyo sana

Ndo maana magazeti yake kama ya boss wake.
 
Si bora STD 4 kuliko wewe mwenye degree ya online dubai na bado una sound kama hujawahi attend shule.Wewe mshukuru Mungu kwa kukupa mzungu maana hakuna mtanzania mwenye akili zake angeweza kukuoa wewe na matusi yako mtandaoni, Frank ana baby mama sijui wanne lakini anakwambia angekuwa ana uwezo wa kumbadilishia Bhoke mama angafanya hivyo fastaa, unatia aibu mwanamke kila mtu kwako mbaya

Hahaaaaa! Zenu za online hizo Masters ziko wapi? Ras Simba tu issue. Hahaaaaa! Degree hatoi Mungu hats nyie mkiweka nia mbona hats PHD mtapata? Hahahaaaaaa!

Mungu anamshukuru sanaaa. Mbona nyie msio na matusi MNA ka list kenu ka baby daddy tena mmemzidi bora baba 2 sio mmmmmh! Kwaheriiii!

Kwa hip Frank alikwambia wewe ama? Tutaaminije? Any supporting evidence Kuprove Frank alie MPA willingly LA mtoto amleee kwa roho safi akwambie were hivo? Equation hai balance. Kama anamfikiria hivo why ampe mtoto wake?
 
Kamtukana wee dada wa watu kisa Diamond, Wema mwenyewe kanyamaza yeye ndo kawashwa kupita hata dada zake wa damu mxeeeeeew

Hasidi hana sababu akitaka kuchukia....Sababu wala sio wema, sababu kazidiwa kila kituuu, kuanzia pesa hadi uzuri.
Masikini alijua kuolewa na mzungu atatoboaa kumbe wapiii kalamba galasa....mwenzie yupo Africa na yake yanamuendea, naona roho inamuuma zaidi akifikiria yeye na masters yake anauza ronya ronya wakati mwenzie na diploma yake ya cosmetics ana boooonge dukaaa....
 
Hasidi ni mtu wa kuchukia wenzie, hasidi kuwa na furaha jo mtihani haswaa.
 
inabidi nitulie niusome huu uzi......

hivi lara 1 ulipata message yangu or i sent it to the wrong person???
 
Last edited by a moderator:
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue
 
Hahaaaaa! Zenu za online hizo Masters ziko wapi? Ras Simba tu issue. Hahaaaaa! Degree hatoi Mungu hats nyie mkiweka nia mbona hats PHD mtapata? Hahahaaaaaa!

Mungu anamshukuru sanaaa. Mbona nyie msio na matusi MNA ka list kenu ka baby daddy tena mmemzidi bora baba 2 sio mmmmmh! Kwaheriiii!

Kwa hip Frank alikwambia wewe ama? Tutaaminije? Any supporting evidence Kuprove Frank alie MPA willingly LA mtoto amleee kwa roho safi akwambie were hivo? Equation hai balance. Kama anamfikiria hivo why ampe mtoto wake?

Sikiliza wewe ndo maana nilikwambia humjui boss wako ukimjua utajiachisha kazi mwenyewe,muulize ilimchukua ex gf wa Frank kum convince Frank amruhusu Bhoke au unataka na jina lake pia? Mange alimfata dada wa watu sababu huyo dada yuko close na Frank na Frank anamuamini tena kwa kifupi Frank alikuwa Arusha na Bhoke wakati hayo yote yanaendelea na baada ya kuongea kwa muda mrefu huyo ex na Frank kwa kifupi alimuombea sana, ndio Frank namjua ni mshikaji na ndio hapendi mtoto wake anavyotukanwa, sasa boss wako akisoma comments zangu atajua mie namjua kiasi gani, sasa endelea
 
Kwanini tuku ignore? ili useme umeshinda? na sisi tunajifanya hazimo sasa leo tutakesha hapa maana wengine hatu clock in and out, na hakuna sehemu imeandikwa Mange asinijibu maswali yangu, ebu jibu tafadhali au niyarudishe usome tena?

Si mwenzenu kadai natafuta MTU Wa kumchamba kwa UDI na uvumba? Hahahaaaaa! Kumbe mwanipendaaaa! Santeeeeeeee! Japo mi siwapendi wala nini.

Mi kukesha hapa Nina rekodi. Usione watu hawaniquote. Wananitamani lakini kidogo tu wanapaparika pa pa pa pa! HAHAAAAAAAAAA! And the funny part lazima mniite. Lol! BE MY GUEST kwenye kukseshaaa. Hivi ndo navopenda sasa kuwa centre of attention. Yaani hapa chizi nimerogwa tenaaa. Hureeeeeeee!

Maana ya EXCLISIVE ni nini? Tuanze kuchambua heading. Hapa nafanya stab coz heading ni ya Linda kujisafishaaa, nimeona no sweat wacha ajisafishe. AFU KATATASI ZA BINTI MBONA HUJANIONEZHAAAA? KI GREEN CARD PLEASEEEEE! Mjukuu wetu Wa taifa hili. It will be a shame akikosa DIPLOMATIC PAPERS, Leo wanafaidi exclusive yao banaaaa.
 
si mwenzenu kadai natafuta mtu wa kumchamba kwa udi na uvumba? Hahahaaaaa! Kumbe mwanipendaaaa! Santeeeeeeee! Japo mi siwapendi wala nini.

Mi kukesha hapa nina rekodi. Usione watu hawaniquote. Wananitamani lakini kidogo tu wanapaparika pa pa pa pa! Hahaaaaaaaaaa! And the funny part lazima mniite. Lol! Be my guest kwenye kukseshaaa. Hivi ndo navopenda sasa kuwa centre of attention. Yaani hapa chizi nimerogwa tenaaa. Hureeeeeeee!

Maana ya exclisive ni nini? Tuanze kuchambua heading. Hapa nafanya stab coz heading ni ya linda kujisafishaaa, nimeona no sweat wacha ajisafishe. Afu katatasi za binti mbona hujanionezhaaaa? Ki green card pleaseeeee! Mjukuu wetu wa taifa hili. It will be a shame akikosa diplomatic papers, leo wanafaidi exclusive yao banaaaa.

naomba niku ignore ili useme umeshinda even tho im sure umemfikishia ujumbe wa maswali boss wako
 
Sikiliza wewe ndo maana nilikwambia humjui boss wako ukimjua utajiachisha kazi mwenyewe,muulize ilimchukua ex gf wa Frank kum convince Frank amruhusu Bhoke au unataka na jina lake pia? Mange alimfata dada wa watu sababu huyo dada yuko close na Frank na Frank anamuamini tena kwa kifupi Frank alikuwa Arusha na Bhoke wakati hayo yote yanaendelea na baada ya kuongea kwa muda mrefu huyo ex na Frank kwa kifupi alimuombea sana, ndio Frank namjua ni mshikaji na ndio hapendi mtoto wake anavyotukanwa, sasa boss wako akisoma comments zangu atajua mie namjua kiasi gani, sasa endelea

Simjui vipi boss wangu? Hayo unayoongea kubisha na kukubali inatokana na supporting evidence utakayo to a. Mie naona unabwabwaja tu. In God we trust ila in humans tunataka vithibitishoooo. Kubwabwaja hats mid naweza kutunga.

Wewe nawe watu wamekulana wee mpaka wakazaa Leo ghafla wewe ndo ujuaye yote. Tobaaaaaaaaaa!

Kazi siachi. EVIDENCE PLEASE!
 
Wamekulana eehe hujui unaweza kuliwa dakika 2 mimba ikashika? Anyways umeshinda wewe ndo bingwaaa
 
Wamekulana eehe hujui unaweza kuliwa dakika 2 mimba ikashika? Anyways umeshinda wewe ndo bingwaaa

Bora kushindwa in honor kuliko kujimalizaa kwa courage. Sometimes you win by losing! Hahaaaaa! Hapo umeruka kiunzi umecheza kama Pele!
 
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue

AMEN! Mjadili jinsi ya kum re brand malkia wenu. Envoy nipo hapa kwa amani kabisaa katika sherehe za kumkaribisha malkia. Nashangaa all the hostility and negativity inatoka wapi.
ALL HAIL THE QUEEN! Hahahaa.

Au ndo IGNORE POLICY imeanza kutekelezwa? Hahahaaaaa!
 
Umeona tofauti, sie Linda akinya barabarani tutaona karogwa!

Hahaaaaaaa! NA ALIE MROGA KAFA SIKU NYINGI MNOOOO! Kwa comment ile kumuona karogwa mbona mnakuwa generous? DIE HARD FUN ITAFIKA CLIMAX SIKU HIO! Hahahaaaaaaaaaaa!
 
Niko kwa Mbutananga huku kwenye O YES, Leo katundika pound za kufa mtu. Mkinihitaji nitakuja. Na share mbege na Jirani yangu kabisaa Marangu pale Mbutananga mkekuu ndani ya oxford street London.
 
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue

Me too im done.

Mimi nimeshafunga mjadala kinachoendelea sasa ni porojo na chitchat tu.

Fact zote ziko mezania ambaye hajaelewa do ur home work anza page ya kwanza mpaka hii mtazijuwa pumba na mchele.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom