Ooh please she is not that psycho Mange, yeye ni shabiki kindaki ndaki hata Mange akinya barabarani anakwambia atasupport!Ushabiki wa namna hii unahitaji moyo sana
Ndo maana magazeti yake kama ya boss wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh please she is not that psycho Mange, yeye ni shabiki kindaki ndaki hata Mange akinya barabarani anakwambia atasupport!Ushabiki wa namna hii unahitaji moyo sana
Si bora STD 4 kuliko wewe mwenye degree ya online dubai na bado una sound kama hujawahi attend shule.Wewe mshukuru Mungu kwa kukupa mzungu maana hakuna mtanzania mwenye akili zake angeweza kukuoa wewe na matusi yako mtandaoni, Frank ana baby mama sijui wanne lakini anakwambia angekuwa ana uwezo wa kumbadilishia Bhoke mama angafanya hivyo fastaa, unatia aibu mwanamke kila mtu kwako mbaya
Kamtukana wee dada wa watu kisa Diamond, Wema mwenyewe kanyamaza yeye ndo kawashwa kupita hata dada zake wa damu mxeeeeeew
Hahahaaa yule katisha, tena kesho yake kapiga picha mkaavuu katupia IG....
Ngoja nifanye awe role model wangu....
Hasidi hana sababu akitaka kuchukia....Sababu wala sio wema, sababu kazidiwa kila kituuu, kuanzia pesa hadi uzuri.
Masikini alijua kuolewa na mzungu atatoboaa kumbe wapiii kalamba galasa....mwenzie yupo Africa na yake yanamuendea, naona roho inamuuma zaidi akifikiria yeye na masters yake anauza ronya ronya wakati mwenzie na diploma yake ya cosmetics ana boooonge dukaaa....
Hahaaaaa! Zenu za online hizo Masters ziko wapi? Ras Simba tu issue. Hahaaaaa! Degree hatoi Mungu hats nyie mkiweka nia mbona hats PHD mtapata? Hahahaaaaaa!
Mungu anamshukuru sanaaa. Mbona nyie msio na matusi MNA ka list kenu ka baby daddy tena mmemzidi bora baba 2 sio mmmmmh! Kwaheriiii!
Kwa hip Frank alikwambia wewe ama? Tutaaminije? Any supporting evidence Kuprove Frank alie MPA willingly LA mtoto amleee kwa roho safi akwambie were hivo? Equation hai balance. Kama anamfikiria hivo why ampe mtoto wake?
Kwanini tuku ignore? ili useme umeshinda? na sisi tunajifanya hazimo sasa leo tutakesha hapa maana wengine hatu clock in and out, na hakuna sehemu imeandikwa Mange asinijibu maswali yangu, ebu jibu tafadhali au niyarudishe usome tena?
si mwenzenu kadai natafuta mtu wa kumchamba kwa udi na uvumba? Hahahaaaaa! Kumbe mwanipendaaaa! Santeeeeeeee! Japo mi siwapendi wala nini.
Mi kukesha hapa nina rekodi. Usione watu hawaniquote. Wananitamani lakini kidogo tu wanapaparika pa pa pa pa! Hahaaaaaaaaaa! And the funny part lazima mniite. Lol! Be my guest kwenye kukseshaaa. Hivi ndo navopenda sasa kuwa centre of attention. Yaani hapa chizi nimerogwa tenaaa. Hureeeeeeee!
Maana ya exclisive ni nini? Tuanze kuchambua heading. Hapa nafanya stab coz heading ni ya linda kujisafishaaa, nimeona no sweat wacha ajisafishe. Afu katatasi za binti mbona hujanionezhaaaa? Ki green card pleaseeeee! Mjukuu wetu wa taifa hili. It will be a shame akikosa diplomatic papers, leo wanafaidi exclusive yao banaaaa.
Sikiliza wewe ndo maana nilikwambia humjui boss wako ukimjua utajiachisha kazi mwenyewe,muulize ilimchukua ex gf wa Frank kum convince Frank amruhusu Bhoke au unataka na jina lake pia? Mange alimfata dada wa watu sababu huyo dada yuko close na Frank na Frank anamuamini tena kwa kifupi Frank alikuwa Arusha na Bhoke wakati hayo yote yanaendelea na baada ya kuongea kwa muda mrefu huyo ex na Frank kwa kifupi alimuombea sana, ndio Frank namjua ni mshikaji na ndio hapendi mtoto wake anavyotukanwa, sasa boss wako akisoma comments zangu atajua mie namjua kiasi gani, sasa endelea
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue
Simjui vipi boss wangu? Hayo unayoongea kubisha na kukubali inatokana na supporting evidence utakayo to a. Mie naona unabwabwaja tu. In God we trust ila in humans tunataka vithibitishoooo. Kubwabwaja hats mid naweza kutunga.
Wewe nawe watu wamekulana wee mpaka wakazaa Leo ghafla wewe ndo ujuaye yote. Tobaaaaaaaaaa!
Kazi siachi. EVIDENCE PLEASE!
Wamekulana eehe hujui unaweza kuliwa dakika 2 mimba ikashika? Anyways umeshinda wewe ndo bingwaaa
naomba niku ignore ili useme umeshinda even tho im sure umemfikishia ujumbe wa maswali boss wako
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue
Umeona tofauti, sie Linda akinya barabarani tutaona karogwa!
jamani mi naomba tujadilini yanayotuhusu
ya mange hebu tuyaacheni mi nimeyachoka ujue
Me too im done.