Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
AMEN! Mjadili jinsi ya kum re brand malkia wenu. Envoy nipo hapa kwa amani kabisaa katika sherehe za kumkaribisha malkia. Nashangaa all the hostility and negativity inatoka wapi.
ALL HAIL THE QUEEN! Hahahaa.

Au ndo IGNORE POLICY imeanza kutekelezwa? Hahahaaaaa!

hahaaaa lara mtata wewee
eti hail queen yes
"welcome her majesty linda"
we love mmmmmwwwwwwaaaa

its not the matter of ignorance but i dont think this beef lead us anywhere
 
Sio vita....mpaka unajiandaa kula bann...Linda has nothing to explain to us hatumpi kula wala kunya! IF its the issue of explanation mbona na nyie team fukufuku has a lot to do! ! Anyways somebody is depressed....

Hivi kwani kuna ambacho Linda hajaexplain toka huo ugomvi uanze? Sincr kipindi kiiiileee??Kiufupi hawana jipya naona wanaenjoy sana ugomvi!
 
HILI LA TWINI HALIJAJIBIWA, LUCKLY LILIJIBIWA KWENYE KIBOKO YA MANGE, LA ZE BABY ZE MJUKUU WA FAZA NATION ZE ILLEGAL IMMIGRANT HALIJAJIBIWA, Sio kwamba nataka yajibiwe akhaaaaaaaaaaaaaa! Au mi ndo nauliza akhaaaaaaaaaaa! Nimeona yaliulizwa kuleeeeeeee, lakini hapa majibu ni NEHIIIIIIIIIIIIII NEHIIIIIIIIIIIIII NEHIIIIIIIIIIIII BABU JIIIIIIIIIIIII! Na mengne mengi tu. Au ndo kusema partial truth???????????

Mimi sio Mange. Mange akija kuanzisha uzi atajijibia.

Another easy question sijui kwanini hawalijibu sometimes nadhani wanafanya makusudi kutojibu ili watu waendelee kuzusha uongo...kwa sheria za marekani Leyla hawezi kuwa illegal immigrant kwa sababu mama yake ana permanent resident ingia uscis.gov under family of perment residents utaona....nimescreenshot hiyo hapo
 
Attachments

  • 1422973789506.jpg
    1422973789506.jpg
    92.3 KB · Views: 179
Another easy question sijui kwanini hawalijibu sometimes nadhani wanafanya makusudi kutojibu ili watu waendelee kuzusha uongo...kwa sheria za marekani Leyla hawezi kuwa illegal immigrant kwa sababu mama yake ana permanent resident ingia uscis.gov under family of perment residents utaona....nimescreenshot hiyo hapo

Wamevuliwa nguo kwa fact na hawataki kuchutama sasa sisi tuwafanyaje?

Wacha wajivuwe mpaka bikini kabisa nani hapendi Sinema ya bure?
 
hahaaaa lara mtata wewee
eti hail queen yes
"welcome her majesty linda"
we love mmmmmwwwwwwaaaa

its not the matter of ignorance but i dont think this beef lead us anywhere

What beef? Mnakuza tu mambo! Huu ni ukaribisho nashangaaa mnashindwa kufunika kombe mwanaharamu apite dakika 2 tu.
 
Wamevuliwa nguo kwa fact na hawataki kuchutama sasa sisi tuwafanyaje?

Wacha wajivuwe mpaka bikini kabisa nani hapendi Sinema ya bure?

Mi naona watu wengi hawajui process ya marekani wanaamini tuu wanachoambiwa things ambavyo wangegoogle wangejua ukweli wake kilaini but sometimes people want to believe what they belive..i thought hii thread ni ya kuweka the fact straight so i think its better linda akavielezea nadhani linda anaasume watu wanajua system ya marekani wengi wao hawajui so wanaenda tuu na waliyoyasikia..in my opinion vitu vingine vinavyozushwa are insulting to our inteligency..anyone with half a brain can figure it out.
 
Another easy question sijui kwanini hawalijibu sometimes nadhani wanafanya makusudi kutojibu ili watu waendelee kuzusha uongo...kwa sheria za marekani Leyla hawezi kuwa illegal immigrant kwa sababu mama yake ana permanent resident ingia uscis.gov under family of perment residents utaona....nimescreenshot hiyo hapo

Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh! INTERESTING! Nimeona screen shot, patience is a virtue, mi nangojea jibu official kwanza, maana unaweza kutiririka weeeeeeee, afu ikaja wapi nilisema ni mkazi? Petience is a virtue. Mi naomba haya mambo ya Obama yatekelezeke mapema tu, yawafae binadamu wote huko akiwemo mjukuuu wa baba.
 
Sijakuelewa. Mimi nasema tuu vile navyovijua. Wewe hujasema mambo ya mkazi. Mimi ndo nimesema linda ni mkazi kutokana na hiyo perment resident yake hapo chini. So wat i said was kwa kuwa linda ni resident since january 2007 kwa sheria za marekani leyla is eligible to get a green card through her mother therefore she cant be an illegal immigrant..i was just pointing out the obvious
 
Attachments

  • 1422974600039.jpg
    1422974600039.jpg
    38.9 KB · Views: 161
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh! INTERESTING! Nimeona screen shot, patience is a virtue, mi nangojea jibu official kwanza, maana unaweza kutiririka weeeeeeee, afu ikaja wapi nilisema ni mkazi? Petience is a virtue. Mi naomba haya mambo ya Obama yatekelezeke mapema tu, yawafae binadamu wote huko akiwemo mjukuuu wa baba.

Na wewe Mange atakufanya hata shule uonekane ulikwenda kutembea.

Ooh Leyla hakumaliza shule Diploma yake hii hapa bado unakubali kuwa Lucifer agent!?
 
Attachments

  • 1422974764534.jpg
    1422974764534.jpg
    47.6 KB · Views: 161
Kwanini tuku ignore? ili useme umeshinda? na sisi tunajifanya hazimo sasa leo tutakesha hapa maana wengine hatu clock in and out, na hakuna sehemu imeandikwa Mange asinijibu maswali yangu, ebu jibu tafadhali au niyarudishe usome tena?

Hivi wewe na lara 1 hamjaelewa content ya huu uzi mpaka unabishana na mtu ambaye anaelekea kwenye malumbano yasokuwa na tija?

Hizo info za Mange zinahusu nini hapa kwa Malkia Linda? Kuna hata moja yenye ujazo walau kufanyia comparison? Labda kama ni mpya!!!

Btw, subirini kama ikitokea na yeye akawekewa uzi wake ndo mumjadili ilakiukweli hapa mnaharibu tu uzi?
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa. Mimi nasema tuu vile navyovijua. Wewe hujasema mambo ya mkazi. Mimi ndo nimesema linda ni mkazi kutokana na hiyo perment resident yake hapo chini. So wat i said was kwa kuwa linda ni resident since january 2007 kwa sheria za marekani leyla is eligible to get a green card through her mother therefore she cant be an illegal immigrant..i was just pointing out the obvious

Mkuu sio lazima uongee na mtu ana kwa ana ndo upate kumsoma vizuri.
Kiufupi unahangaika tu.
 
Mi naona watu wengi hawajui process ya marekani wanaamini tuu wanachoambiwa things ambavyo wangegoogle wangejua ukweli wake kilaini but sometimes people want to believe what they belive..i thought hii thread ni ya kuweka the fact straight so i think its better linda akavielezea nadhani linda anaasume watu wanajua system ya marekani wengi wao hawajui so wanaenda tuu na waliyoyasikia..in my opinion vitu vingine vinavyozushwa are insulting to our inteligency..anyone with half a brain can figure it out.

Mimi aka Myth Buster nipo hapa.

For all things USA just holla.

My job is to keep liars in check.
 
Hivi wewe na lara 1 hamjaelewa content ya huu uzi mpaka unabishana na mtu ambaye anaelekea kwenye malumbano yasokuwa na tija?

Hizo info za Mange zinahusu nini hapa kwa Malkia Linda? Kuna hata moja yenye ujazo walau kufanyia comparison? Labda kama ni mpya!!!

Btw, subirini kama ikitokea na yeye akawekewa uzi wake ndo mumjadili ilakiukweli hapa mnaharibu tu uzi?

Mwambie huyoooo! NASHUKURU JINA LA HER MAJESTY THE QUEEN LIMEPITAAAAAAAA! Tuendelee na sherehe za ukaribishaji.
 
Bado tu mnaelezea?? Duh!! Hongereni

Umeonaaaaaaaaaaaaa! Afu naonekana mie mkrofi, mie nimekuja kufanya fujo, kumbe wanayatka wenyeweeee! NGOMA YA SHETANI MWENDAWAZIMU ANAINGIAJEEEEEEEE???? Eeeeeeeeeeeh! KWENYE STAREHE KATAPILA LIMEFIKJEEEEEEEEEE? Mimi envoy nimekuja kusherekea nanyi ia hamuishi choko choko.
 
Sijakuelewa. Mimi nasema tuu vile navyovijua. Wewe hujasema mambo ya mkazi. Mimi ndo nimesema linda ni mkazi kutokana na hiyo perment resident yake hapo chini. So wat i said was kwa kuwa linda ni resident since january 2007 kwa sheria za marekani leyla is eligible to get a green card through her mother therefore she cant be an illegal immigrant..i was just pointing out the obvious

Haya basi tufanye ana PASSPORT YA MAREKANI KABISAAAAA!😛oa. Aya mambo mengine, maana yule binti mdogo sana, na ya walimwengu mengi.
 
ngoja nifuke kombe mie nshachoka mie

Umechoka vipi wakati mi nangojea shamra shamra zenu, mpaparike kama ilivo kawaida yenu, nashangaaaa, mambo DOROOOOOOOOOOOOO! Nawaaminiaga kufika page ya 78. Namna gani mnamuangusha mgeni wenu. Upokezi kama huu wenu mi naaga siku hiyo hiyo! Hahahahaaaaaaaaaa! Hamna nyimbo wala hamna sera.Mi ngoja nikazurure huko mitaani pakikucha niiteni.
 
Mwambie huyoooo! NASHUKURU JINA LA HER MAJESTY THE QUEEN LIMEPITAAAAAAAA! Tuendelee na sherehe za ukaribishaji.

Nilitumia neno la malkia Linda nikimaanisha its all about her sio kuleta upinzani kwaivo nadhani notion yangu na yako vina utofauti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom