Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Take a breath dear...
Hii kama sio useful kwako basi sie kwetu ni useful

Kina Invisible na wenzake walifikiria mengi sana kuanzisha majukwaa tofauti tofauti na kuruhusu nyuzi nyingi bila kikomo wakijua kila mtu jicho litagota apatakapo ama kuhamia sehemu nyingine ikiwa atatua pasipomfaa!

Mnamlemaza huyu kiumbe kwa kushabikia mabifu ya kike

Ushaona kipindi dizaini ya kinachoendeshwa na gea habibu au mariam migomba kinaendeshwa na mwanaume?
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhaaaa nimekuona vitako kama skonzi,,,,miguu kamwazime Linda

Mnanionea wivuu...nimekuita sehemu kuna mtu mmbeya yupo kule dunia nzima hakuna! Amekushinda hata wewe.....by the way nikipaka make up natishaje!
 
Mnanionea wivuu...nimekuita sehemu kuna mtu mmbeya yupo kule dunia nzima hakuna! Amekushinda hata wewe.....by the way nikipaka make up natishaje!

Tunakuonea wivu sie hatuna master ya makombe, ngoja niutafute huo uziii
 
damn...you are one heck of a super troller...

Hahahahaaaaaaaa! A PHOTO SAYS ONE THOUSAND WORDS! Nimeomba picha ya BIKINI naona kimyaaaa. :A S-baby::A S-baby::A S-baby:
 
Mnanionea wivuu...nimekuita sehemu kuna mtu mmbeya yupo kule dunia nzima hakuna! Amekushinda hata wewe.....by the way nikipaka make up natishaje!

Sura imekukomaa shoga aangu wewe yaani na hiyo stail ulipweka saa hizi mpaka mwanao katishika maana anajionea viroja tu.hheheheiiyaaaa umechwa huko unasingizia dayati mmnffyyyyuuuu
 
Mnanionea wivuu...nimekuita sehemu kuna mtu mmbeya yupo kule dunia nzima hakuna! Amekushinda hata wewe.....by the way nikipaka make up natishaje!

Jamani mbona mimi hujaniita huko umbeani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom