EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Uzi huu ni kuleta majumuisho mbali mbali toka kenya


Uzuri katika uchaguzi wao hakukuwa Na vitambulisho vya kupigia kura ,Bali Mtu alienda Na national ID inawekwa kwa mashine anaweka dole gumba inaleta information Zake anapiga kura,

UPDATES ZA MATOKEO YA URAIS TOKA KENYA

RAILA ANAKARIBIA KUANZA KULIA


Wameiga mfumo wa Tanzania wa lubuva ,wanayatangaza matokeo kama yanavyowajia,


KENYATA 904,477 =57%

ODINGA 656,293=41%

Kura ambazo zimehesabiwa ni 1,571,940, zilizoharibika ni 44,357.

Votes counted is 13% of all country votes




UPDATED


UHURU KENYATA : 1,425,783 = 55.2%

RAILA ODINGA: 1,095,920= 43.8%

TUTAENDELEA KUJUZANA
 
Hizo ni kura chache sana zilizohesabiwa.

Kwa hiyo siyo rahisi kwa sasa kusema kuwa Uhuru Kenyatta anaelekea kushinda ...

Let us wait and see.....
 
4d9f202c833445dfc8bfcb069f38fc65.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawapendi kupiga kura nini? Wajiandikishe 19 million, wanaopiga kura chini ya asilimia 5 ya waliojiandikisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom