EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

mheshimiwa ruhi nimeisikia hii taarifa nami pia kwenye taarifa ya habari ya itv🙁
 
Nampenda huyu jamaa pamoja na mapungufu yake kama binadamu na kiongozi lakini kwenye kuleta maendeleo kwa Wakenya anajitahidi sana.
Mkuu kwa binadamu wa kawaida kabisa asiye mnafiki lazima amkubali Uhuru

In God we trust
 
Back
Top Bottom