EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

kumbe huku ni ccm na cdm? leo hii chadema wanashinda ugenini ajabu ya milenia hii!
 
Hata mimi nahisi Raila kashinda kwa Land slide Nairobi,ndo maana matokeo yanachelewa.Nashangaa Mji mkuu hadi sasa matokeo bado wakati miundo mbinu ya kitecnolojia ya mawasiliano hapo ndo kwake.
Nairobi hakuna anayeweza kushinda kwa landslide na hakuna aliyewahi kushinda Nairobi kwa landslide kutokana na mchanganyiko mkubwa wa watu na kikabila.

Kwa safari hii, ukiongeza na power of incumbency, kadiria Raila kupata wastani wa si zaidi ya 55% katika jimbo la Nairobi kwa 45% za Uhuru.
 
Hivi nyie mnaoleta u Chadema na UCCM humu mnamaanisha nini?Kenya na Tanzania ni tofauti sana .Kijito na Bahari.Toeni UCCM na Uchadema hapa.
 
Nairobi hakuna anayeweza kushinda kwa landslide na hakuna aliyewahi kushinda Nairobi kwa landslide kutokana na mchanganyiko mkubwa wa watu na kikabila.

Kwa safari hii, ukiongeza na power of incumbency, kadiria Raila kupata wastani wa si zaidi ya 55% kwa 45% za Uhuru.
Utasubiri sana Uhuru rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Victoire! Dah hilo jina! Tutaliongeza tu nywee!😀Umenijazz msupa!
 
Hivi nyie mnaoleta u Chadema na UCCM humu mnamaanisha nini?Kenya na Tanzania ni tofauti sana .Kijito na Bahari.Toeni UCCM na Uchadema hapa.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]waambie mkuu

Uchaguzi unafanyika Kenya na kura wanapiga wakenye kampeni zinafanyoka Tanzania huu ni ujinga kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom