Uzi huu ni kuleta majumuisho mbali mbali toka kenya
Uzuri katika uchaguzi wao hakukuwa Na vitambulisho vya kupigia kura ,Bali Mtu alienda Na national ID inawekwa kwa mashine anaweka dole gumba inaleta information Zake anapiga kura,
UPDATES ZA MATOKEO YA URAIS TOKA KENYA
RAILA ANAKARIBIA KUANZA KULIA
Wameiga mfumo wa Tanzania wa lubuva ,wanayatangaza matokeo kama yanavyowajia,
KENYATA 904,477 =57%
ODINGA 656,293=41%
Kura ambazo zimehesabiwa ni 1,571,940, zilizoharibika ni 44,357.
Votes counted is 13% of all country votes
UPDATED
UHURU KENYATA : 1,425,783 = 55.2%
RAILA ODINGA: 1,095,920= 43.8%
TUTAENDELEA KUJUZANA