EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
 
Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
Mimi ni mkenya jombaa! Sasa hivi nina alama kwenye kidole, kuashiria nimetimiza haki yangu kama mkenya. Kiswahili ndo lugha tunayoienzi mkuu! MK254, uko wapi,kura ulishapiga au vipi?
 
[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=20616291][/QUOTE][quote uid=396713 name="Edward Wanjala" post=20608741][/QUOTE][quote uid=434933 name="El Matador" post=22704241][/QUOTE][quote uid=420669 name="BlietzKrieg" post=22704400][/QUOTE][quote uid=426407 name="Lewis254" post=22711598][/QUOTE][quote uid=81155 name="kennedy0000" post=22718808][/QUOTE]

nawatakia wakenya uchaguzi wa amani katika wakati wote wa zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo.

NB: azam tv (the BBC or CNN or aljazeera of east africa) imeweka kambi maeneo mbalimbali nchini kenya katika kuleta matangazo "mbashara" (live) ya uchaguzi.nipo hapa nafatilia kila kinachojiri via azam tv.
 
Mungu awape hekima katika kuyapokea matokeo. Nawatakia uchaguzi wa haki na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…