EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

e94470760177b1c5c15a257981f4a25a.jpg
2c2cbe2d2aca3a59200ef2f920160dc7.jpg
823c2fff495cb90c91ecb0e9b78f0dcd.jpg
ebe8e74a0e4e064d863b3aca271344f2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeki, saa kumi na mbili na dakika thelathini na tatu ndo nimepiga kura yangu! Son of the soil, nimeshatimiza wajibu wangu kwa nchi yangu, shukran zote ni kwa Maulana! Hongera tume ya uchaguzi na mipaka IEBC mmejipanga vyema sana! Diwani wangu Ustadh Kanchory mwenyewe, tumepatana nikitoka akanisalimia na kupiga bonge la smile, aisee ni kama ameshinda Sportpesa vile! Anajua nishampa zake tano tena! Jubilee hoyee!
Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
 
Wewe ni Mkenya kweli??? Nani amekuandikia hiki kiswahili??
Mimi ni mkenya jombaa! Sasa hivi nina alama kwenye kidole, kuashiria nimetimiza haki yangu kama mkenya. Kiswahili ndo lugha tunayoienzi mkuu! MK254, uko wapi,kura ulishapiga au vipi?
 
[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=20616291][/QUOTE][quote uid=396713 name="Edward Wanjala" post=20608741][/QUOTE][quote uid=434933 name="El Matador" post=22704241][/QUOTE][quote uid=420669 name="BlietzKrieg" post=22704400][/QUOTE][quote uid=426407 name="Lewis254" post=22711598][/QUOTE][quote uid=81155 name="kennedy0000" post=22718808][/QUOTE]
f2b8627b59bd1c3e1c2db76c1866e0ee.jpg

nawatakia wakenya uchaguzi wa amani katika wakati wote wa zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo.

NB: azam tv (the BBC or CNN or aljazeera of east africa) imeweka kambi maeneo mbalimbali nchini kenya katika kuleta matangazo "mbashara" (live) ya uchaguzi.nipo hapa nafatilia kila kinachojiri via azam tv.
e8cf7d1279f8189f03e0056338feff23.jpg
66b2dceb6cef2d7eb8595463a5e6f487.jpg
216ada634133b251c2a8f574bc98b529.jpg
8b1ac6284ab93a630c0f286dd54869d6.jpg
2ca8ab4af4a9ffa9f809ea47acc0e132.jpg
 
Back
Top Bottom