EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Magufuli anewavuruga ukawa hadi hawajielewi!

Aibu hii mpinzani kushangilia chama tawala kushinda Kenya huku yule wa upinzani akilalamika kuonewa ambayo ni kweli tupu.

......
 
Kwa sasa na jitayarisha kumpokea rais uhuru tena kama rais wangu huku nikiwa nimevalia shati ya jubilee
matokeo ya kutengeneza hayo ndo maana yalitanguliwa na mauaji ya kiongozi wa tume hopeless kenya hopeless democracy laila samper fidels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…