Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Mbona unatoa weak comment kama hii? Mara ya kwanza Uhuru alichaguliwa lini? na aligombea na nani? Inauhusiano gani na Magu?Yaani odinga alikosea kusema ataongoza kama fulani wakenya wakaona mbali [HASHTAG]#UHURUTANOTENA[/HASHTAG]