Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau hadu SAA 9 kamili usiku huu matokeo Uhuru Kenyata 6,300,000 wakati Rails Odinga 5,130,000. Vituo vilivyohesabiea 30,000 kati ya 40,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza jibu?CHADEMA mgombea wenu si alikuwa Uhuru?
Mpambano mkali80% reporting
Uhuru 6.7 million votes
Raila 5.3 million votes
AiseeMpaka saa tisa za usiku matokeo yaliyopokelewa kutoka kwenye vituo 30673 kati ya vituo 408830 Rais Uhuru Kenyatta amepata kura 6331140 sawa na asilimia 55. 27% wakati Raila Odinga amepata kura 5031737 sawa na asilimia 43. 92.
Magavana Kidero wa Nairobi. Issac Ruto wa Bommet na Peter Munya wa Meru wamepoteza nafasi zao.
Waingie wakione cha moto polisi ya Kenya hainaga maneno mingi.
Nasikianga FFU ya kenya ukiipanga kitu kidogo bobu 5 inaweka rungu kando na kukupiga massageWaingie wakione cha moto polisi ya Kenya hainaga maneno mingi.
🙂🙂Angalau na nyie mmeshinda! Inatia moyo kwa kweli...Unauliza jibu?
In God we trust