Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
YesssssSonko aula ugavana nairobi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesssssSonko aula ugavana nairobi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Raila ana miaka 72,asubiri tena 2021 labda atashinda akiwa na 76 yrs old.
Mkuu bado majimbo ya raila mengi bado matokeo hayajatoka tuwe wavumilivu
Ahaaa.ccm weeeee.mlichotufanya 2015.mungu anawaona.huu mchezo waliufanya.> Gari moja lenye namba za usajiri bandia za KBY 840C likiwa katika msafara unaolindwa limekamatwa na Maafisa wa Jeshi la Polisi na kukutwa na karatasi za kura ziliwe zimewekewa alama kwa Wagombea wa Jubilee. Limekamatwa huko traveling under escort found carrying (KIEMS) Mandera, Banissa.
AFRIKA INAFANANA SANA.
2017 presidential election results round 1Wadau hadi sasa Uhuru Kenyatta ana kura 5,447,235 sasa na 55.21% wakati Raila Odinga kura 4,340,805 sawa na 44%. Vituo vilivyohesabiwa 26,279 kati ya 49,883. Stay tuned .
Uhuru akiuza sera zake ,NASA walikua kortini wakiuza ujanja wao ....na sasa hivi wako KTN wanasema kwamba kura imeibiwa tena.Uhuru akifanya campaigns.....raila na NASA wako press conferences....what do you expect
sent from iPhone 7
Na safari hii Uhuru kawakomesha, maana wamekusanyana zaidi wa watano akina Kalonzo, Mudavadi na bado kawakalisha..Uhuru akiuza sera zake ,NASA walikua kortini wakiuza ujanja wao ....na sasa hivi wako KTN wanasema kwamba kura imeibiwa tena.
Jirani zetu watz amkeni mtuombee, shetani tiyari keshatuingilia. Orengo wa NASA ameitisha 'mass action' kupinga matokeo ya uchaguzi! Walaaniwe kabisa hawa jamaa wa NASA! Ukoo wao wote ulaaniwe!