EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Nasubir Tume huru kama sio guru

thA God thA bubbs!!
 
Nami naamini kwa gap hilo Uhuru ana nafasi kubwa ya kushinda. Jinsi uchaguzi wa Kenya ulivyoendeshwa kwa uwazi, mazingira kama yale walau nusu yake yangekuwa yanawezeshwa ktk chaguzi za TZ bila shaka CCM ingekuwa chama cha upinzani hapa kwetu.
Ni kama ameshashinda maana anamzidi Raila kwa zaidi ya kura milioni moja!
 
Magufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.

Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.

Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
Shindwa kwa Jina la Yesu Kristo ...
back to sender...

hakuna maumivu yatapatikana

What goes around always comes around
 
Dah kma kweli kenyatta atashinda basi itakuwa siku mbaya kwa ukoo wa odinga maana baba yake odinga hakuweza kuwa rais mbele ya baba yake uhuru then watoto pia historia ijirudie??? I feel so bad for Raila
 
9d1949691aa03e969b6161174d47d0ff.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kma kweli kenyatta atashinda basi itakuwa siku mbaya kwa ukoo wa odinga maana baba yake odinga hakuweza kuwa rais mbele ya baba yake uhuru then watoto pia historia ijirudie??? I feel so bad for Raila
CHADEMA mgombea wenu si alikuwa Uhuru?
 
64% reporting

Uhuru 5.4 million votes
Railla 4.3 million votes
 
Wakenya Wanaamua. Tunawatakia kila la heri majirani zetu mpige kura kwa amani na kila mkenya atumie nguvu ya kura yake kumchagua atakae. Tukumbuke kuna "MAISHA BAADA YA UCHAGUZI". Kwa matokeo yoyote yale yatakayotoka lazima wanasiasa, viongozi na wananchi wa kenya wayakubali na Kenya iendelee. Tuko pamoja na nyinyi. Love from Tz
 
dahhh bado ninamatumaini wacha nilale mimi najua ntakuta chenges hakuna atakae toboa zaidi ya 50%
 
Back
Top Bottom