hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Ww wasemaMagufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.
Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.
Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app