EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

kuna kila dalili na viashiria visivyo na shaka kuhusu uhuru kenyatta kushinda uchaguzi na kuwa rais wa kenya kwa awamu ya pili.

swali ni je,watu wa muungano wa NASA watakubali matokeo?....raila atakubali matokeo?.

hapo ndio kwenye taharuki kubwa inayosababisha baadhi ya wakenya kukimbilia tz kutafuta hifadhi ya muda.

kwa uchaguzi wa kenya suala muhimu sio zoezi la kupiga kura pekee,pia ni namna mpinzani atakavyo pokea matokeo na outcome yake endapo atayakataa.
 
Ameshashinda tayari
 
Mpaka sasa matokeo kutoka kwenye asilimia 43% ya vituo vyote vya kupiga kura yametolewa na kuonyesha kuwa Uhuru Kenyatta anaongoza kwa tofauti ya kura zaidi ya Laki Sita.

Toka matokeo ya kura yaanze kutolewa Uhuru Kenyata mpaka sasa amekuwa akiongoza...

Mchuano bado ni mkali na mtamu japokuwa upepo wa ushindi unazidi kuelekea kwa Uhuru Kenyatta.

[HASHTAG]#TEAM[/HASHTAG] UHURU.
 
Its still early to determine the winner. Don't forget that its not only about the total votes, but also the percentage margin, which i believe is the biggest challenge at the moment.
 
Magufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.

Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.

Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
There is alwayz a 1st time kwa hali ilivyo tanzania leo tukipiga kura hata waibe magufuli hapiti labda chato ihesabiwe mara 10000
 
20634621_108666386490924_2204620229298880512_n.jpg
20634621_108666386490924_2204620229298880512_n.jpg
20634602_189750038230608_4041837690398703616_n.jpg
20634621_108666386490924_2204620229298880512_n.jpg
20634602_189750038230608_4041837690398703616_n.jpg

20634621_108666386490924_2204620229298880512_n.jpg
 
Siyo mchezo Uhuru:5,447,235 Odinga 4,340,806!

Tofauti 1.1m votes
 
Kiambu
Kirinyaga
Meru na Embu zina 3.4mn Votes for all we know Zinawekuwa zimetoka zote area moja na little additive from western Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia ya Kisii, Bungoma, Muhimu?

Mtihani wa kwanza kwa Uhuruto ilikuwa ni kumaintain ushindi mkubwa kwenye ngome zao, Rift Valley na Central, wamefanya hivyo.Wameenda far na kumegamega maeneo ya wapinzani wao.

Sasa ni Kenyatta 5,400,000 kwa Raila 4,300,000/=.

Sample ikiishakaa sawa ni ngumu sana matokeo kuchange, kwa muelekeo huu Uhuru anachukua round ya kwanza.
 
Its still early to determine the winner. Don't forget that its not only about the total votes, but also the percentage margin, which i believe is the biggest challenge at the moment.
Hadi muda huu saa6 dk 10 usiku huu 64.2% of total votes zimeshatangazwa na Uhuru ana asilimia 55.2 na Raila 44%
Source: CITIZEN TV LIVE.
 
Back
Top Bottom