Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Usimdharau usiye mjua hata siku moja
In God we trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimdharau usiye mjua hata siku moja
Odinga atashinda njaa siyo Uraisi wa KenyaEverything will be ok, let Raila ashinde.
Ameshashinda tayarikuna kila dalili na viashiria visivyo na shaka kuhusu uhuru kenyatta kushinda uchaguzi na kuwa rais wa kenya kwa awamu ya pili.
swali ni je,watu wa muungano wa NASA watakubali matokeo?....raila atakubali matokeo?.
hapo ndio kwenye taharuki kubwa inayosababisha baadhi ya wakenya kukimbilia tz kutafuta hifadhi ya muda.
kwa uchaguzi wa kenya suala muhimu sio zoezi la kupiga kura pekee,pia ni namna mpinzani atakavyo pokea matokeo na outcome yake endapo atayakataa.
kilichobaki sasa ni namna raila atakavyo pokea matokea na taarifa za kushindwa kwake.[emoji23]Ameshashinda tayari
There is alwayz a 1st time kwa hali ilivyo tanzania leo tukipiga kura hata waibe magufuli hapiti labda chato ihesabiwe mara 10000Magufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.
Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.
Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
Umesikia ya Kisii, Bungoma, Muhimu?Kiambu
Kirinyaga
Meru na Embu zina 3.4mn Votes for all we know Zinawekuwa zimetoka zote area moja na little additive from western Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi muda huu saa6 dk 10 usiku huu 64.2% of total votes zimeshatangazwa na Uhuru ana asilimia 55.2 na Raila 44%Its still early to determine the winner. Don't forget that its not only about the total votes, but also the percentage margin, which i believe is the biggest challenge at the moment.
Okay mwandishi wetuBado mnasubiri matokeo ?
Matokeo ya vituo 17051 kati ya 40883
Uhuru Kenyatta ana kura 3,336,790 (54.86%)
Raila Odinga ana kura 2,699,908 (44.39%).