EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Latest...gap widening... Nakuru 0%
fc9b8f433f11259caca065a175a4fceb.jpg


sent from iPhone 7
 
> Gari moja lenye namba za usajiri bandia za KBY 840C likiwa katika msafara unaolindwa limekamatwa na Maafisa wa Jeshi la Polisi na kukutwa na karatasi za kura ziliwe zimewekewa alama kwa Wagombea wa Jubilee. Limekamatwa huko traveling under escort found carrying (KIEMS) Mandera, Banissa.


AFRIKA INAFANANA SANA.
Ahaaa.ccm weeeee.mlichotufanya 2015.mungu anawaona.huu mchezo waliufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-09-01-47-17.png
sijaelewa,
Hii ina maana only 10m out of 19m Kenyans who voted today?
Or 10m is the number of valid votes counted up to now?
 
Maajabu!!!!!!
Uchaguzi umefanyika tarehe 8
Kwenye simu za kawaida 8 imeambatana na herufi TUV
katikati in U
Na mgombea na rais was Kenya mpaka sasa in UHURU.
Hongera Kenyatta kwa ushindi kumbuka kumwalika Edo kwenye kuapishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau hadi sasa Uhuru Kenyatta ana kura 5,447,235 sasa na 55.21% wakati Raila Odinga kura 4,340,805 sawa na 44%. Vituo vilivyohesabiwa 26,279 kati ya 49,883. Stay tuned .
2017 presidential election results round 1
Updated Aug 9 at 1:52 AM GMT+3
Votes · 71% reporting
6,044,745 (Elimu Elimu Elimu) 4,805,159 (Hapa Kazi Tu)
Chanzo: Reuters
 
Back
Top Bottom