Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Go Uhuru go Uhuru.
86% mkuu, Odinga is now officially blaming his BFF kwa kupigwa tano tena.
Sidhani kama atafanya hivyo na akifanya basi ni kuondoa ngoma juaniMimi bado nasubiri kuona Twitter ya Magu akimpongeza Uhuru Kenyatta...
Umeonaeeeee?Yaani odinga alikosea kusema ataongoza kama fulani wakenya wakaona mbali [HASHTAG]#UHURUTANOTENA[/HASHTAG]
hawata kubali watabatirisha kama zanzibar
Hongereni sana kwa kukataa maisha ya kishetani na mijerediKwa sasa na jitayarisha kumpokea rais uhuru tena kama rais wangu huku nikiwa nimevalia shati ya jubilee
Magufuli anewavuruga ukawa hadi hawajielewi!
Aibu hii mpinzani kushangilia chama tawala kushinda Kenya huku yule wa upinzani akilalamika kuonewa ambayo ni kweli tupu.
......
Wewe ni Shija kweli. Nani kakuandikia kiswahili hii musuri?Mi Niko hapa kaunti ya kitale. Nimepiga kura yangu kwa yule mwenye kumupenda Mimi.
Uchaguzi iko na watu wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri Magu aendelee kuwabinya hivihivi, tulifikiri mna akili kumbe kichwani hewa kabisa.
Udikteta uchwara mwisho Namanga!
Upo wapi? Kiambuu? Nyeri? Sema upo wapi kisha tusubiri!Mbona sikuoni naniko huku mtani na piga zangu biashara kama kawaida, nangoja mlete hizo papala nzenu mkione
Hahahaa CCM bana.Uhuru ni mwizi wa kura Wakenya kataeni hayo matokeo feki
Hakuna cha huruma hapo ,Odinga ni kama samaki aliyejikaanga na mafuta yake mwenyewe -his tactics ,his words and his record ndio zinamuumiza mwenyewe sasa aondoke jukwaani.Namhurumia Odinga for sure... He should get out on Kenyan political
Wakora wamemtosa tena...
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Wakenya wameikataa ccmNamhurumia Odinga for sure... He should get out on Kenyan political
Wakora wamemtosa tena...
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
CCM bana, mna miaka 40 sasa,Uhuru ni mwizi wa kura Wakenya kataeni hayo matokeo feki