EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Mawakala wa Nasa wengine wameingia mitini kiasi Orengo analalamika kwamba wakati wanaomba kazi walikua wandogo kama pilitoni sasa hata simu hawapokei ili wawasaidie ku verify haya matokeo ya IEBC....kwa kweli Nasa kama ma agent wamewaangusha huo ni uzembe wao
 
Kwa sasa na jitayarisha kumpokea rais uhuru tena kama rais wangu huku nikiwa nimevalia shati ya jubilee
Hongereni sana kwa kukataa maisha ya kishetani na mijeredi

In God we trust
 
Magufuli anewavuruga ukawa hadi hawajielewi!

Aibu hii mpinzani kushangilia chama tawala kushinda Kenya huku yule wa upinzani akilalamika kuonewa ambayo ni kweli tupu.

......

Mkuu ninavyokumbuka chama tawala kilikuwa KANU hawa wote ni wapinzani
 
Aug-25-16-Magufuli-and-the-Opposition.jpg

Udikteta uchwara mwisho Namanga!​
Heri Magu aendelee kuwabinya hivihivi, tulifikiri mna akili kumbe kichwani hewa kabisa.

......
 
Namhurumia Odinga for sure... He should get out on Kenyan political

Wakora wamemtosa tena...

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hakuna cha huruma hapo ,Odinga ni kama samaki aliyejikaanga na mafuta yake mwenyewe -his tactics ,his words and his record ndio zinamuumiza mwenyewe sasa aondoke jukwaani.
 
ni vema haya mambo ya nje tukayaacha kuyashabikia kama ufipa wanavyokesha kusubiri matokeo ya uchaguzi kenya as if mwenyekiti wao ni mgombea

Ngw'ana Kabula
 
Hayo matokeo toka jana yani percent ni ile ile tu. Hapo kuna factor K kwenye hizo software. Ha ha ha algorithm lazima imetumika hapo ku keep kitu constant
 
Back
Top Bottom