EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

ni vema haya mambo ya nje tukayaacha kuyashabikia kama ufipa wanavyokesha kusubiri matokeo ya uchaguzi kenya as if mwenyekiti wao ni mgombea

Ngw'ana Kabula
Hutaki kanywe sumu ila habari ndiyo hiyo odinga chaliiiiii kisa ccm

In God we trust
 
CCM bana, mna miaka 40 sasa,
ila hamjawahi kuelewa maana ya demokrasia.

Kaeni chonjo, Kenyans has decided [HASHTAG]#kenyadecides[/HASHTAG]
Inabidi ccm wajitafakali upya

In God we trust
 
Ajabu ya mwaka mpinzani kushangilia chama tawala Kenya,wakati mpinzani mwenzake analalamika kuchezewa rafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maajabu zaidi yalianzia pale Odinga akiwa Mpinzani mkuu Kenya alipoamua 2015 Kutowaunga Mkono wapinzani UKAWA badala yake akaunga Mkono CCM chama tawala kwa sababu Magu ni rafiki yake.Au hayo sio maajabu kwako boss?
 
Uliwahi kumuona Odinga kapanda kwenye jukwaa LA kampeini za ccm, bavicha bwana mmechanganyikiwa kam lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…