EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017



Don't forget to mention all innocent people killed by Uhuru & Ruto.
Example. Msando, the guy from IEBC.

Any way, I'm through in arranging my items ready for a diplomatic mediation.
 
i thought Nasa made kenyans believe that wapo kamili nobody will hack or even steal thier votes sasa wanalalamika nini...i guess mahackers wao wameshindwa kuingia servers za IEBC...poor Raila
Yes poor him for sure
afikirie wakenya asijifikirie yeye ...
ndo shida ya maraisi wa afrika ..they think for themselves na kujifanya wako kwa ajili ya wanyonge kumbe unafiki tu ..very selfish

What goes around always comes around
 
Yes poor him for sure
afikirie wakenya asijifikirie yeye ...
ndo shida ya maraisi wa afrika ..they think for themselves na kujifanya wako kwa ajili ya wanyonge kumbe unafiki tu ..very selfish

What goes around always comes around
wangemwacha yule boss bila kumuua, kwasababu kama kushinda jamaa angeshinda tu. ona sasa jamaa kaacha mjane na mayatima, plus maumivu ya muda mrefu kwenye mioyo ya watu.
 
Hayo yote uliyoyataja yapo kwenye katiba ya Kenya acha uzush

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
wangemwacha yule boss bila kumuua, kwasababu kama kushinda jamaa angeshinda tu. ona sasa jamaa kaacha mjane na mayatima, plus maumivu ya muda mrefu kwenye mioyo ya watu.
Very true

What goes around always comes around
 
lakini Laila anadanganywa na wapambe wake waliodhani atashinda! jamani kwa nyakati za leo watu wanaenda pia na haiba ya mtu. hivi kweli wataacha kuchagua mutoto wa mujini wamchague mtu toka kule porini? Je alikuwa vetted na "Muthaiga club"?πŸ™πŸ˜›πŸ˜€πŸ™‚
 
Hakika hapa kuna wizi wakenya kinukisheni haiwezeka tangu usiku asilimia za Uhuru ni zilezile 54 na Odinga 44 hata kura mpya zitoke ila asilimia hazibadiliki hapa kuna mchezo aseeee
Punguza pressure, unajua asilimia inavyotafutwa? kwenye kura mil. 10 kupata badiliko la +/-1% lazima kuwe na nyongeza ya angalau kura elfu 10 wakati huo mwenzake asiongeze hata kura moja kitu ambacho ni ngumu sana.

Kwa kura zilizobaki usitegemee kutakuwa na % change kubwa sana sana +/-2%.

Odinga ndio basi tena hata kura zote zilizobaki apewe yeye.
 
Pesa , hela, dooooo!
Mimi sitaki kungojea pesa na doooo za makinikia na Noah mara oooh oooh sijui nasikia mtu anasubiria Noah za rangi ya maji, mara rangi kasuku.

Bora wapigane tu ili ; nikawasuruhishe nipige Pesa.
Hivi hao wa makinikia waliishia wp au bado wako kwa mazungumzo?[emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu usinisahau kwenye usuluhishi maana na mimi nimesomea masuala ya usuluhishi wa Migogoro.
 

Sasa mbona analalamika kaibiwa ?
 

Nimeipenda hii,

Uhuru tano tena..,uhuru ni mfano wa demokrasia kamili..,ni kati ya viongozi bora na makini sana Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…