Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Raila Amolo Odinga (RAO) hawezi kulaumu chochote katika uchaguzi huu.., atulie, au aelekee Chato kwenye mapumziko;
1. RAO aliomba tume huru ya uchaguzi, akapewa IEBC.
2. RAO aliomba waishio nje ya Kenya wapige kura-wakaruhusiwa.
3. RAO alihitaji Uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, akaruhusiwa
4. RAO aliikosoa serikali kadiri alivyotaka-hakusumbuliwa.
5. RAO alitaka hadi wafungwa walioko magereza wapige kura, wakapata ruhusa hiyo..
Uhuru tano tena.., uhuru ni mfano wa demokrasia kamili.., ni kati ya viongozi bora na makini sana Afrika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't forget to mention all innocent people killed by Uhuru & Ruto.
Example. Msando, the guy from IEBC.
Any way, I'm through in arranging my items ready for a diplomatic mediation.