EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Tayari ushawishi wa Lowasa umefanya kazi na kumpa Govenor Ole Lenku wa Jubilee nafasi ya kua Gavana miaka mitano ijayo Kajiado...hii ilikua ngome ya Nasa...
 
I have always hated this guy,msanii mkubwa kama huyo akisema huo upuzi badala yakua mfano mwema kwa jamii
this guys are used to joining the govt through the back door yaaani Raila amesha brainwash...na hua akipata nafasi mwenyewe anapiga dili kimya kimya
 
Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga

What goes around always comes around
Madai ya huyu omollo n ya kijinga mbona kuna kaunti huyu omollo ana kura zaidi ya laki 3 na huku Uhuru akiwa na kura buku 2 tuuu???

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Reactions: PNC
Tayari ushawishi wa Lowasa umefanya kazi na kumpa Govenor Ole Lenku wa Jubilee nafasi ya kua Gavana miaka mitano ijayo Kajiado...hii ilikua ngome ya Nasa...
Mi mkaazi wa Kajiado na kura yangu nilimpigia Ole lenku! NASA pekee yake ndo walikuwa wanajua Kajiado ni ngome ya NASA, Laigwanan alikuja tu kuchapa stamp, shukran kwake!
 
Mi mkaazi wa Kajiado na kura yangu nilimpigia Ole lenku! NASA pekee yake ndo walikuwa wanajua Kajiado ni ngome ya NASA, Laigwanan alikuja tu kuchapa stamp, shukran kwake!
Hivi huyu Ole Lenku ndio aliwahi kuwa waziri wa usalama eah!!? Jamaa yupo vizuri sana basi tu al shabab walimharibia na miugaidi yao
 
Nimependa sana tume ya uchaguzi ya Kenya. Baada ya Raila kulalamika kwamba matokeo ya kwenye mtandao sio sahihi yamedukuliwa, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kajitokeza na kusema matokeo ya kwenye luninga yasichukuliwe kama ndiyo ya mwisho. Pia kaanzisha dawati ofisi za tume na kuruhusu wawakilishi wa vyama waende wakaangalie matokeo yanayo toka vituoni kama yana fanana na ya wawakilishi wao. Tanzania tunaambiwa maamuzi ya tume ni final. Huu ni upuuzi usio wa kidemokrasia. Nawapongeza Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kushupaza shingo, kama una kumbukumbu, mwaka 2012 kipindi Raila anagombea chadema walitoa sapoti kubwa sana walipeleka mpaka magari na vifaa huko Kenya kumsapoti Raila, lakini ilipofika mwaka 2015 Raila aliwageuka na kumsapoti rafiki yake Magufuli, unataka wamsapoti mtu ambaye hawasapoti, yeye 2015 hakuwasapoti halafu leo hii wamsapoti huo utakuwa uchuro.
 
Iwapo kijana Uhuru na Ruto na chama chao cha Jubilee wakishinda urais, basi wapinzani wa Tanzania watakili:
  • Uchaguzi ulikuwa huru na haki
Ila mwaka fulani hao hao wapinzani walishawahi kumshabikia mzee Odinga na aliposhindwa na kusema ameibiwa kura waliwahi kukili
  • Uchaguzi haukuwa huru na wa haki
Tanzania tuna wapinzani wachumia tumbo, bendera fuata upepo, wanafiki, hawana msimamo, ni wezi wa kiasaikolojia, hawana maadili, hawafai hata kuaminiwa.
 
Rail Odinga hawezi kuwa rais wa kenya hata akishinda hawezi kupewa urais.... Robert Mugabe anazijua sababu za Odinga kutokuwa rais...
Mimi sina mwasiliano na Mugabe, ebu dadavua kidogo hizo sababu.
 
Tanzania hakuna wapinzani ila watafuta kiki za kijinga bila kujitambua.

Kwa ujumla ni kakikundi ka waganga njaa mtaani.
 
Keep your respect dude, calling man laila is an idiot


mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkumbuke Kenya pia kuna CCM ile ya ruto, mgombea wa nchi yoyote atakae ungwa na CCM hata shinda kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…