BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Habari Ndugu,
Wenye updates za Uchaguzi Kenya watujuze tafadhali.
UPDATED 15:15 PM
What goes around always comes around
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Ndugu,
Wenye updates za Uchaguzi Kenya watujuze tafadhali.
Tayari ushawishi wa Lowasa umefanya kazi na kumpa Govenor Ole Lenku wa Jubilee nafasi ya kua Gavana miaka mitano ijayo Kajiado...hii ilikua ngome ya Nasa...Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
this guys are used to joining the govt through the back door yaaani Raila amesha brainwash...na hua akipata nafasi mwenyewe anapiga dili kimya kimyaI have always hated this guy,msanii mkubwa kama huyo akisema huo upuzi badala yakua mfano mwema kwa jamii
Madai ya huyu omollo n ya kijinga mbona kuna kaunti huyu omollo ana kura zaidi ya laki 3 na huku Uhuru akiwa na kura buku 2 tuuu???Hacking imeanza kuanzia jana saa 6 mchana hadi leo kwa kaunti zote ..wanamzidishia uhuru na kumpunguzia raila - Raila Odinga
What goes around always comes around
Mi mkaazi wa Kajiado na kura yangu nilimpigia Ole lenku! NASA pekee yake ndo walikuwa wanajua Kajiado ni ngome ya NASA, Laigwanan alikuja tu kuchapa stamp, shukran kwake!Tayari ushawishi wa Lowasa umefanya kazi na kumpa Govenor Ole Lenku wa Jubilee nafasi ya kua Gavana miaka mitano ijayo Kajiado...hii ilikua ngome ya Nasa...
Kukubali kushindwa kidemokrasia ni uungwana mkubwa sana ila kukubali kushindwa kwa kuibiwa kura au hujuma ni ujinga wa hali ya juuBahati yake mbaya.
Aondoe ubinafsi na atangulize maslahi ya wa Kenya, Amani na usalama wao.
Kukubali kushindwa ni ushindi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu Ole Lenku ndio aliwahi kuwa waziri wa usalama eah!!? Jamaa yupo vizuri sana basi tu al shabab walimharibia na miugaidi yaoMi mkaazi wa Kajiado na kura yangu nilimpigia Ole lenku! NASA pekee yake ndo walikuwa wanajua Kajiado ni ngome ya NASA, Laigwanan alikuja tu kuchapa stamp, shukran kwake!
Kama hujui kitu ni bora ukae kimya kuliko kushupaza shingo, kama una kumbukumbu, mwaka 2012 kipindi Raila anagombea chadema walitoa sapoti kubwa sana walipeleka mpaka magari na vifaa huko Kenya kumsapoti Raila, lakini ilipofika mwaka 2015 Raila aliwageuka na kumsapoti rafiki yake Magufuli, unataka wamsapoti mtu ambaye hawasapoti, yeye 2015 hakuwasapoti halafu leo hii wamsapoti huo utakuwa uchuro.Raila odinga anafanyiwaga figisu kama Malim seif kila uchaguzi , nawashangaa ndugu zangu wa CHADEMA na LOWASA wanamsapoti uhuru, wakati nao wanafanyiwaga haya haya, anayofanyiwa odinga. Uhuru ni MAFIA wakati wa kesi yake kule Uholanzi mashahidi wawili muhimu waliuliwa, wakati wakijiandaa kwenda kutoa ushahidi, juzi yule jamaa wa tume ya uchaguzi anayesimamia maswala ya ICT, karibia na uchaguzi wamemuua, hapo ujue haya matukio sio bahati mbaya. UHURU uchaguzi huu alikuwa hachomoki, mgomo wa madaktari zaidi ya miezi mitatu, ukaja wa wauguzi, ukaja wa wahadhili wa vyuo vya umma na hata sasa kwa majibu wa bbc bado Kuna mgomo baridi wa wauguzi na madaktari na baada ya kuona aibu juzi Kuna eneo moja (jina nimelisahau) lenye ukubwa wa ekari 900 ndani yake Kuna kaya 2000, likanunuliwa na serikali lkn ili mwenye kaya aweze kupata hati inabidi atoe dola 1800, bado tena mwaka huu kashusha bei ya unga kwa nusu bei, lkn baada ya muda bei ikarudi ile ile kwa kifupi huyu jamaa alikuwa hashindi . Alafu nawashangaa CHADEMA kumsapoti huyu Uhuru, yaani tokea aje huyu Lowasa, amewashika vichwa CHADEMA, kila analolifanya na kusema kwao ndio na wamekuwa WANAFIKI wanao kataa nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, wewe mpaka wanaharakati na taasisi za haki za binadam wanasema Kuna wizi wa kura lkn wao wanamsapoti mwizi, ila angalieni mnachokisifia Kenya, kikitokea kwenu 2020, hatutaki kelele, ila hata hivyo sitawashangaa mkilalamika, kwani unafiki ni tabia ya chama chenu siku hizi.
Mimi sina mwasiliano na Mugabe, ebu dadavua kidogo hizo sababu.Rail Odinga hawezi kuwa rais wa kenya hata akishinda hawezi kupewa urais.... Robert Mugabe anazijua sababu za Odinga kutokuwa rais...
.....ka ke ki ko kuLa le li lo lu
Ra re ri ro ru
Keep your respect dude, calling man laila is an idiotlakini Laila anadanganywa na wapambe wake waliodhani atashinda! jamani kwa nyakati za leo watu wanaenda pia na haiba ya mtu. hivi kweli wataacha kuchagua mutoto wa mujini wamchague mtu toka kule porini? Je alikuwa vetted na "Muthaiga club"?🙁😛😀🙂