EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Aiseeee !!! Hivi kumbe inawezekana kushinda tena uchaguzi bila kufanya UDIKTETA , Sasa kwanini viongozi wote waliosalia eneo la maziwa makuu wanafanya UDIKTETA ?
 
Uhuru Kenyatta anaongoza kwa wingi wa kura-----amepatata kura hata kule hatungetarajia,,Kisii,,amefieka
umasaini kwote,,Governor Ole Lenku na Governor wa Narok,,,amepata kura 34,000 luo nyanza na 6,000 Kisumu town, governor sasa ni wa jubilee huko,,kwale, amefieka wasomali wote,Ngome iliokua ya uppinzani,,, governor sasa wa Nairobi ni Jubilee,the new kid on the block, mike Sonko, Iron lady Laboso,
Bomet, Iron lady, the beautiful one,, Ann,,kirinyaga
, Mzee,,,the Mbass,,Kiraitu Murungi, Meru,,,Baba yao,,
Fedinarnd Waitititu, Kiambu
,,what else do we need but to thank you,,lord,,where ever you are,,in heaven,,mars,,Jupiter,,
it does not matter,,but let me,,just,, thank you,, my lord.

Ohh lord,,,refrain this Raila thing,,, from plunging this country into chaos, refrain him and show him
that the world is not him.

Raila Odinga asijaribu kuchochea wanainchi. Huyu bwana hudanganya ulimwengu ati yeye ni mwana demokrasia lakini ukweli ni kinyume.

Huyu ni dikteta wa hali ya juu na mtu ambaye hua afikirii wengine bali yeye mwenyewe.

Mara hii hana bahati kwani akajaribu chochote,,,basi atakabiliana na yale hajawahi yaona
maishani mwake.
 
Hawa jamaa hii kitu itawagharimu sana, si wakubali yaishe.
 
Hii nafasi ya sijui kwa hapa bongo ni sawa na udiwani? maana nashangaa kuna jama mmoja ni kichwa sana anaitwa ALFRED MUTUA aliwahi kuwa msemaji wa serikali kwa nini asigombee ubunge apate UWAZIRI?
 
But what about those who mismanage the votes in favour of the ruling incumbent.
 
Those of you who are saying things are okay in Nairobi. Go watch this video on tweeter from this account. Hawaogopi hata polisi
 
Kuna amani gani polisi wanaua watu tayari. Ni kwa nini anafanya hivyo. Hapo si ndio wanatibua hasira za wajaluo

It's as if wanataka kukinukisha. Kuiba kura Kenya ni hatari maana almost nusu kwa nusu kura zinaenda kwa Uhuru na Raila. Basi ujue nusu ya askari, nusu ya manesi, nusu ya watu wa kitaa, nusu ya Usalama wa Taifa, nusu nusu nusu wanagawana. Make that assumption ndio utajua kwanini kuna hiki au kile
 
Uhuru angeachana na kuhack matokeo tu akubali kushndwa ata wananchi wakija wakauana ataanza tena kesi za ICC na sasa wamarekani wamemleta Kerry waziri wa mambo ya Nje aliyepta wa USA pale kama mwangaliz ...ukiunganisha dot za kuuwawa IT Director wa Tume ya uchaguzi kenya na hizi fujo uhuru hatakua na pakuchomokea watampin asiamn ...aombe Mungu damu isimwagike ila awamu hii yeye na Rutto hawatachomoka...tatzo walivamia Tally Centre ya NASA nairobi wakajua wanemmalizia Raila bt Raila akawaambia anazo nyingi leo wamepata majibu.... inasemekana system ya tume ya Uchaguzi ya Kenya IEBC according to IT specialist wa NASA anasema mpaka sasa Admn anayerun system ya matokeo ya IEBC si mtu wa Tume ya Urais Kenya ...Mwkt wa Tume ya IEBC anaonekana ni Admn namba mbili na pia na Marehemu Msando it's like anaonekana Amelog In which means waliomtesa na kumuua anadai watakua walimtesa mpaka akawapa password. ..time Will Tell Uhuru and Rutto Wakenya wakiuana Watawajibika...Kikuyu Cartel must allow free and fair Election
 
Mwambie kwanza Raila aache uchu wa madaraka
 
chadema walitangaza kuunga mkono chama tawala katika mojawapo wa nchi jirani.
chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile.

mkija kufanyiwa nyie msilalamike Kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…